EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #21
UNATAKA TAKWIMU za nchi gani mbona kama huelewi?Sijakwambia takwimu zitolewe ,nimekwambia takwimu za hizo nchi.Kumbe ubongo wako haufanyi kazi BONGO LALA WEWE Kumbe nabishana na mtu mjinga tu
Kwani dunia ina jumla ya watu wangapi? Unajua third wave imeinfect watu wangapi out total population? Unafahamu kwa ujumla COVID-19 ime infect % ngapi worldwide compared to TZ toka ianze?0.0002%?????? mtaani kwako unawaona hao wagonjwa au unatishwa na matangazo ya Mloganzila, na Muhimbili?
They are part of the big picture thrmselves
Evaluation ya jambo lolote hutolewa na kwa % ya jambo lenyeweKwani dunia ina jumla ya watu wangapi? Unajua third wave imeinfect watu wangapi out total population? Unafahamu kwa ujumla COVID-19 ime infect % ngapi worldwide compared to TZ toka ianze?
Binafsi sidhani kama tunatakiwa kujilinganisha na nchi zingine kwenye mijadala yetu.. Cz we chose completely different approach.. We have no information to match.
Ila kuipuuza COVID-19 kwasababu haijapita ndani mwako sidhani kama ni sahihi.. cz kuna watu wamelia hadi machozi yameisha ndani ya Tz hii hii
Lugha inawashinda watanzania wengi. Ukichanganya tena na elimu ya kuchovya basi watu wanakuwa na upenyo finyu kabisa wa mambo yanayotokea duniani. Unajua mwanzoni watu wenye mawazo fyongo kama yako juu ya corona nilikuwa naona kama wanafanya makusudi kupotosha. Baade nimekuja kugundua watanzania wengi hawako informed kuhusu huu ugonjwa kwa sababu Tanzania serikali haikufanya jitihada zozote kuwaelimisha na hata wale wanaotaka kutafuta habari wanakuta nyingi zimeandikwa kwa kiingereza ambacho hawaelewi. Wewe ni mmoja wao.Achana napropaganda za wazungu kwanza washaanza kusema ili uwe fully immuned at least upige dose kuanzia 3 na kuendelea. So it is all about bussiness dozi moja ni Tsh.400k
Tunashonana na hatuzai barakoa na maisha yanasonga nenda kwenye VIVUKO ni balaa, njoo kwenye daladala mida ya asubuhi na jioni mwendo ni uleule.Kama kuna watu wanafanya utafiti wa corona na madhara yake..
basi waanzie kwenye mwendo kasi
Utajuaje athari ya bila takwimu?Siku zote tunapotofautiana ni pale ambapo kuna watu wao wanaangalia takwimu na wengine wanaangalia athari za ugonjwa, sasa sijajua kwamba Tz kutopima watu corona ndio hufanya huko mahospitalini kutojaa hao wagonjwa wa corona ukizingatia hatuchukui tahadhari?
Haya nasubiri elimu hapa. ambayo unahisi siijuiLugha inawashinda watanzania wengi. Ukichanganya tena na elimu ya kuchovya basi watu wanakuwa na upenyo finyu kabisa wa mambo yanayotokea duniani. Unajua mwanzoni watu wenye mawazo fyongo kama yako juu ya corona nilikuwa naona kama wanafanya makusudi kupotosha. Baade nimekuja kugundua watanzania wengi hawako informed kuhusu huu ugonjwa kwa sababu Tanzania serikali haikufanya jitihada zozote kuwaelimisha na hata wale wanaotaka kutafuta habari wanakuta nyingi zimeandikwa kwa kiingereza ambacho hawaelewi. Wewe ni mmoja wao.
Hapa ndio tunapata majibu....Tunashonana na hatuzai barakoa na maisha yanasonga nenda kwenye VIVUKO ni balaa, njoo kwenye daladala mida ya asubuhi na jioni mwendo ni uleule.
Ni kweli kwa mfano malaria bila takwimu huwezi kujua kama inaondoa sana watu ila hapa tunazungumzia corona ambayo kutokana na hatari ya ugonjwa wenyewe tumeona athari zake mfano India na kwengineko haikuhitaji takwimu kuona athari zake.Utajuaje athari ya bila takwimu?
Some people are brainwashed na western mediaInasemekana covid ya india inaambukiza waliochanjwa na wasichanjwa. Halafu variant ya india inayoitwa delta naua zaidi waliochanjwa 68asilimia waliochanjwa wakiipata wanakufa. Tathmini ni kuwa ukichanjwa unapoteza nguvu ya mwili kujipambania na hiyo sina au nyingine yoyote itakayokuja kwa hiyo unaweza poteza maisha kwa sina yoyote mpya ya covid. Sasa wataalamu wameshauri kule marekani wote waliochanjwa na wasichanjwa wavae barakoa na kutumia sanitizer kama zamani. Kuna siku tutamkumbuka kama nabii aliyebezwa lakini alikuwa sahihi sana kwa msimamo wake. Tena wanasema chanjo za mRNA za kule marekani ndio hivyo kabisa zinazuia mwili kuweza kujipigania na aina mpya za covid hata huko mbele. Hii taarifa imetangazea juzi na vyanzo vya kuaminika kwao.
Hii chanjo ya bure wanaotupa free itafubaza uwezo wa asili wa miili yetu kujikinga ili likija wimbi jingine tuteketee au tununue genuine vaccine kwa gharama kubwa sanaLazima tukubali kuwa chanjo ya kurudi ni mgumu sana sababu vinabadilika muda wote. Chanjo ya covid hakuna inayozuia aina zote za virus hivyo. Tusubiri hadi mwisho wa mwaka sera ya WHO itabadilika tu. Tunarudi kwenye zile basic tatu 1social distance ,lockdown,na sanitizer . Wazungu wamechanganyikiwa watakuwa vigeugeu.
Hata wao saivi wanajazana uwanjani halafu sisi tunatishana. tutafurika hadi korona ikimbie.Tukutane kwenye Kariakoo Darby July 3,iyo Corona itajuta.
India walikuwa wanatoa takwimu. Naona wewe uko zaidi kwenye ile watu wanafariki mpaka huduma za hospital na mazishi zinaelemewa. Lakini kumbuka bado kunaweza kuwa na idadi kubwa kiasi ya wagonjwa na vifo na usione athari! Nchi kama Tanzania wakifariki wastani wa wagonjwa wawili kwa siku, katika kila mkoa kwa muda labda wa miezi mitatu hutaweza kuona athari kama zile za India lakini bado ni idadi kubwa ya watu. Mambo ya vifo kwenye nchi bila takwimu ni ngumu sana kujua ukubwa wake. Kwa mfano, kwa hali ya kawaida kabla ya korona, Tanzania ungeweza kukaa mwezi mzima bila kusikia mtu unayemjua amefariki, lakini hii haiondoi ukweli kwamba kuna watu wengi wanakufa kila siku.Ni kweli kwa mfano malaria bila takwimu huwezi kujua kama inaondoa sana watu ila hapa tunazungumzia corona ambayo kutokana na hatari ya ugonjwa wenyewe tumeona athari zake mfano India na kwengineko haikuhitaji takwimu kuona athari zake.