#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

Mkuu kuhusu malaria wala sina shida na UTAFITI.
 
Corona bongo haipo watuache tuendelee na uzalishaji haya mambo ya wanaharakati wa bongo kushadadia kila kitu cha kimagharibi ni upuuzi.
Kula GWARA MKUU[emoji1306][emoji1306][emoji1306]
 
Watu wanapenda ku'rationalise' mambo hata kama hoja wanazotoa zinapingana na hitimisho wanalolilenga. Tuna hulka ya kuamini amini amini kauli za watu bila kuzi'critique' na hili ndilo tatizo la wachangiaji wengi. Let's be critical of ourselves first before we are critical of other people.
 
Mpumbavu mwingine huyu!!!


 
Mkuu wimbi la kwanza kila.mgonjwa aliyefariki hakuambiwa amefariki na nini kama utakumbuka kuna waliolalamika ila pia kulitokea vifo vingi kiasi
Man, unless kama umesahau lakini walikuwa wanatoa takwimu za waliokufa! And REMEMBER, mwanzoni walikuwa wanabania bania kutoa takwimu na hivyo maambukizi yakaonekana machache sana!!

Kufika somewhere in April katikati, ndipo wakaanza kutoa takwimu rasmi, and by the time wagonjwa walikuwa less than 50!! Sasa walipoanza kutoa takwimu, ndo namba ika-shoot ghafla, na kufikia Mei mwanzoni, idadi ikawa imepanda from less than 50 to 509, huku vifo vikiwa 21!

Kuona hivyo, Magu akapiga marufuku utoaji wa takwimu!!
IMPACT YAKE ilionekana VIVID Mtaani ila sil Kwa kiwango cha nchi zingine LILIPOPITA tumekuwa shwari kabsaa ukiachana na vifo vya viongozi ila kitaa shwari tu
Mtaani ilikuwa inaonekana, na video kusambaa mitandaoni kwa sababu by the time tunatoa takwimu, maiti zilikuwa zinazikwa kwa utaratibu maalumu, na serikali ndiyo ilikuwa ina-handle hayo mazishi; na ndipo tukaanza kuona video za watu wakiwa wamevalia mavazi maalumu na kuzika!!

Magu alipopiga marufuku ya kutoa takwimu, marufuku hiyo pia ikahusu maiti kwamba zisizikwe na serikali jambo lililokuwa lina-attract attention na yale mavazi yao (tena walikuwa wanazika usiku)!

Kuanzia hapo, hata wale walioonekana wamefariki kwa corona, bado ndugu walipewa maiti, huku msamiati nao ukibadilika na kuwa ugonjwa wa changamoto ya kupumua!
 
Mkuu uko sahihi na hata kama bado kuna wanaogua corona nchini basi ni idadi ndogo sana tajwa hapo juu kulinganisha na idadi ya wananchi.
 
Walizika wapi maana MOROGORO kuna watu.walisema maeneo ya MIZANI KUNA MAZISHI YA USIKU DK MKUU AKAENDA WAKAAMBIWA WAONESHE MAKABURI YALIPO WAKASHINDWA.
 
Mkuu uko sahihi na hata kama bado kuna wanaogua corona nchini basi ni idadi ndogo sana tajwa hapo juu kulinganisha na idadi ya wananchi.
Kweli mkuu hizi propaganda ndio hatuzitaki
 
Hoja yako ni ipi maana hapa kuna pande mbili jipambanue upo kundi gani
 
Walizika wapi maana MOROGORO kuna watu.walisema maeneo ya MIZANI KUNA MAZISHI YA USIKU DK MKUU AKAENDA WAKAAMBIWA WAONESHE MAKABURI YALIPO WAKASHINDWA.
Ingia Insta Account ya Wizara ya Afya May 03, 2020 utakuta hii taarifa ya wizara ikieleza mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na:-


Sasa kama maiti hazikuwa zinazikwa usiku, Mganga Mkuu wa Serikali alikuwa anapiga marufuku ya nini?!
 
Magufuli aliwakomboa sana kifikra watanzania.
Katiba ,lockdown, barakoa ,chanjo zote ni porojo zilizopuuzwa na wananchi
View attachment 1836744
Mkuu umeongea point huyu mama anafanya kila jambo kavaa mabarakoa wananchi hawavai kasema kuna wagonjwa watu hata chembe ya hofu hawana ole wake aweke lockdown ndio tutapompinga hadharani R.I.Pmwendazake umeacha alama
 
Mkuu umeongea point huyu mama anafanya kila jambo kavaa mabarakoa wananchi hawavai kasema kuna wagonjwa watu hata chembe ya hofu hawana ole wake aweke lockdown ndio tutapompinga hadharani R.I.Pmwendazake umeacha alama
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…