Man, unless kama umesahau lakini walikuwa wanatoa takwimu za waliokufa! And REMEMBER, mwanzoni walikuwa wanabania bania kutoa takwimu na hivyo maambukizi yakaonekana machache sana!!
Kufika somewhere in April katikati, ndipo wakaanza kutoa takwimu rasmi, and by the time wagonjwa walikuwa less than 50!! Sasa walipoanza kutoa takwimu, ndo namba ika-shoot ghafla, na kufikia Mei mwanzoni, idadi ikawa imepanda from less than 50 to 509, huku vifo vikiwa 21!
Kuona hivyo, Magu akapiga marufuku utoaji wa takwimu!!
Mtaani ilikuwa inaonekana, na video kusambaa mitandaoni kwa sababu by the time tunatoa takwimu, maiti zilikuwa zinazikwa kwa utaratibu maalumu, na serikali ndiyo ilikuwa ina-handle hayo mazishi; na ndipo tukaanza kuona video za watu wakiwa wamevalia mavazi maalumu na kuzika!!
Magu alipopiga marufuku ya kutoa takwimu, marufuku hiyo pia ikahusu maiti kwamba zisizikwe na serikali jambo lililokuwa lina-attract attention na yale mavazi yao (tena walikuwa wanazika usiku)!
Kuanzia hapo, hata wale walioonekana wamefariki kwa corona, bado ndugu walipewa maiti, huku msamiati nao ukibadilika na kuwa ugonjwa wa changamoto ya kupumua!