Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

Mi nadhani zile ni ndege
Kuna aina nyingi ya ndege
Yangu ni hayo ngoja tuwasuburi wajuzi
 
Ile ni ndege ya kawaida kabisa. Ule unao ona kama moshi sio moshi ni mgandamizo wa hewa toka kwwnye xzost ya ndege. Kumbuka inapita juu sana hivyo hii hewa ya oxygen haipo huko inakopita. Huko kuna hydrogen kama nitakuwa sahihi.

Zamani hizo tulikuwa tukiita mrusi[emoji38][emoji38]
 
Bila shaka umeiona muda si mrefu, nipo Dar kawe na imepita muda si mrefu.
Ile ni ndege ya kawaida ya abiria ila haitui tanzania. Imetoka nchi nyingine na iko tu ktk njia (international airway) za ndege kuelekea huko iendako.
 
Kwa nini haitui Tanzania au hamna viwanja vyake kama ni ya kawaida basi tunaomba mwenye picha yake aiweke ili tujiridhishe
Naamini ni ndege ya kawaida tu ila kubwa, wali sio ndege spesho ila iko safarini. Nafikiri viwanja vya kutua vipi ila ktk ratiba yake labda inatua nchi nyingine ila si tanznia.
 
Sifa sasa
 
Asa kama ni barafu izo ndege si zingerudi zimechubuka rangi kwa kugonga hizo barafu.?
Umewahi kuiona ambayo haijachubuka??? Yaani kila ikifanya safari moja ikirudi inapakwa rangi mpya tena wanapaka rangi ngumu za kuchanganywa na standard thinner sio solvent, sawa mkuu?
 
Zile ni ndege za kawaida za kubeba abiria au mizigo ambazo zinafanya masafa marefu, hivyo huwa zinaruka katika international space ambazo hazipo chini ya nchi yeyote, kutokana na umbali wa sehemu zinakotoka na kwenda unabidi waruke katika umbali ule
 
Good answer thank you
 
Ndiyo maana Enzi za Mwalimu wakati watanzania wengi walikuwa hawana fursa ya kusafiri kwenda Ng'ambo yeye alikuwa akienda na kurudi afu anaanza kupiga stori wakati wa kutoa hutuba zake hadhira ikawa inaona ni mambo ya ajabu sana.
Pombe na bhangi hazijawahi kumwacha mtu salama.wewe na mwlim nyerere.hata asipohusika unalazimisha tu kumingiza.kw taarifa yako dharau yyako kw nyerere haikuondelei ujinga kichwani mwako.
 
Bila shaka umeiona muda si mrefu, nipo Dar kawe na imepita muda si mrefu.
Ile ni ndege ya kawaida ya abiria ila haitui tanzania. Imetoka nchi nyingine na iko tu ktk njia (international airway) za ndege kuelekea huko iendako.
kwann hakitui bongo
 
thanks ,mkuu kaingilishi kapo simple na kanaelewakaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…