Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mi nadhani zile ni ndegeWakuu naomba kuuliza,kuna kile chombo huwa kinapita juu kabisa ya anga inaacha moshi nyuma,tukiwa wadogo tuliambiwa ni rocket.kwa hapa africa inatua south africa na egypt tu.ss tumekua najua rocket ni ile iendayo nje ya dunia.naomba kujuzwa wakuu ni ni nini ile?
Kuna aina nyingi ya ndege
Yangu ni hayo ngoja tuwasuburi wajuzi