Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?


Mkuu umenikumbusha mbali, wengine wakati huo tukiona helkopta tulikuwa tunasema ya Malecela.Tulikuwa tunaikimbilia kuiona helkopta ikitua kwenye camp ya Kajima maeneo ya Ada Estate.
 

Mkuu tulikuwa tunaishi mtaa mmoja nini? maana umenikumbusha kitambo.
 
Kwanza umeshawahi kupanda ndege? Ndege zinaporuka anga za mbali, e.g. KLM inapofika anga za juu, kule kuna baridi sana kiasi cha kufikia -50 Centigrade au zaidi. Kinachotokea ndege inapotoa moshi ule unakutana na mgandamizo mkubwa sana na baridi sana kiasi kuwa ule moshi unagandishwa ghafla.

Umeshawahi kujiuliza unapoamka asubuhi sana sehemu za baridi sana,. hewa unayotoa wakati unapumua kwa nini inakuwa kama moshi?
 
The atmospheric pressure indulges in sequences of neutralise masses of massive gases called hydrogen enduring by a moving plane in ozone layer.

The impact of friction in midair collision between the moving plane at a very high supersonic speed equivalent to sound barrier irritate the ping sounds and leaves along trait of unusual gasses which amazes people like you in the grounds to contemplate and ask mediocre questions pertaining and embarking in this unsolved myths of long trail of gases left behind by big planes penetrating in an international flying zone.

I think have helped u
 
Sisi wasafwa tunaiita nyerere,tunaamini n ndiye MTU Wa kwanza kwa watanzania kuipanda hiyo nyerere
 
Mkuu naomba unisaidie ni kwa namna gani zile rocket zinapaa na namna gan zinatua na pia mara nyingu huwa zinabeba nn? Na ni zipi tofaut kat ya rocket hizi na zile misiles wanazotumia Wapalestina ?


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
 

Unamuuliza kama ameshawahi kupanda ndege wakati ameanza kwa kuweka neno "huku" akimaanisha yupo kwenye chombo huku akichati jf.
 
swali zuri. na hakika nimeelimika
 
Ile rocket hua inatua Cairo na durban South Africa tu hakuna viwanja zaidi ya hivyo Africa
 

Na wewe si uandike kiswahili, mavocabulary meengi mpaka yanaboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…