Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

Ule sio moshi ile ile barafu inayeyushwa na joto linalotoka kwenye bomba la moshi, hakuna ndege inayotowa moshi vile alafu iwe mzima itakua mbovu hiyo.
Mkuu kama ni hivyo basi ndege ya jeshi la wananchi la Tanzania itakua mbovu sana sababu inapita maeneo ya ilala kiasi cha mita mia moja toka chini lakini inatoa moshi mweusi
 
Kama ule sio moshi l hivyo basi ndege ya jeshi la wananchi la Tanzania itakua mbovu sana sababu inapita maeneo ya ilala kiasi cha mita mia moja toka chini lakini inatoa moshi mweusi
 
Unaju mtu anaekimbilia kukosoa neno moja ambalo mtu amekosea, na likiinyesha kabisa mwandishi alikusudi kuandika vile, unakua unajishusha. Kwenye kutamka maneno yanakosea nini kuandika.

Likiinyesha ndio nini?
 
japokua wachangiaji hapo juu wameelezea vizuri but nijuavyo jamaa ameuliza juu ya ROCKET na rocket mara nyingi zina move perpendicular to the Earth na ule Moshi unaotoka ndio unaosaidia ku push up...na bila kuwepo kwa huo moshi isingeweze kupaa kwa namna hyo.
 


Ule sio moshi ile ile barafu inayeyushwa na joto linalotoka kwenye bomba la moshi, hakuna ndege inayotowa moshi vile alafu iwe mzima itakua mbovu hiyo.

Kile unachoona kama moshi mweupe kinaelezewa na nadharia ya 'refraction' katika physikia ya mwanga.

Joto kali hotoka kwenye exhaust ya ndege/roketi hufanya joto la hewa kwenye njia inapopita ndege liwe juu kuliko maeneo ya pembeni yake. Kwa mujibu wa kanuni za Physikia, 'refraction' ya mwanga hutokea kutokana na tabaka la la hewa yenye joto kubwa katikati ya sehemu ya hewa yenye joto la chini, hivyo kufanya unapoangalia uona kama moshi mweupe.
Hali hii hupotea polepole jinsi joto la hewa linaporudia kwenye usawa wake.
 
Kawaida ili ndege ipae angani inahitaji mafuta "fuel" na kisaidizi cha kuunguza mafuta"oxidizer",kwa ndege zinazoruka karibu na uso wa Dunia hubeba "fuel" tu,oygen iliyopo angani hutumika kama "oxidizer",ila anga za juu(high altitude) hakuna oxygen,hivyo basi ndege zilukazo anga za juu hulazimika kubeba "fuel" pamoja na "oxidizer"(note that fuel may be in the form of solid or liquid form,thus the internal combustion within a rocket engine of fuel together with the carried oxidizer accompanied together with the mist formed in high altitude is what we see as a thick smoke)
 

Kwa ujumla ule mstari unaojitokeza kule juu sio moshi as such (i.e hakuna ndege inayotoa moshi mwingi namna ile tena moshi mweupe), bali ni mvuke unaotokana na burning fuels, ambao unaganda kutokana na baridi iliopo kule juu kama ilivyokwisha elezwa, na ndege za aina ile ni jet aeroplanes ambazo hazitumii mapangaboi ya nje.
 
Ule sio moshi ile ile barafu inayeyushwa na joto linalotoka kwenye bomba la moshi, hakuna ndege inayotowa moshi vile alafu iwe mzima itakua mbovu hiyo.[/QUOTEsawa sawa mkuu ,!!! kwahiyo barafu inayo yayushwa maji yanaenda wapi!??
 
Ule sio moshi ile ile barafu inayeyushwa na joto linalotoka kwenye bomba la moshi, hakuna ndege inayotowa moshi vile alafu iwe mzima itakua mbovu hiyo.

Asa kama ni barafu izo ndege si zingerudi zimechubuka rangi kwa kugonga hizo barafu.?
 

Nashukuru pia kunielewesha namimi.
 

Kwani kauliza kwa Kiingereza au Kiswahili? nadhani utakuwa umemuongezea maswali zaidi... so pls Tafsiri kwa Lugha ya Kiswahili....
 

Sa siunge mwambia a Google kama wewe ulivo Google
 
Copenhagen mkuu una uhakika gani kama lugha uliyotumia kujibu swali kama mtoa mada anaielewa..kama hayo maelezo uliyotoa umeyaelewa si ungeyaweka tu kwenye lugha aliyotumia kukuulizia swali



yaani me mwenyew nimeshindwa kumshangaa huyu ndug yetu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…