Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?


Combusion sio, nilisoma advance ila phys ilikuwa ngumu nishasahau
 

Wewe ndio umetuvuruga kabisa
kiufupi ule sio moshi
ile ni hali ambayo inatokea baada ya joto kali kupita kwenye baridi kali zile ndio effect zake
 
Tatizo watu wanachanganya habari, ndege jumbo jet wanaziita rocket, halafu wanasema zinatua south africa na cairo tu wakati uwanja wowote wa kimataifa zinatua, kia, dar na nairobi hizo ndege zinatua, ila kuna baadhi zinataka vifaa 'ngazi' za aina tofauti za kushushia abiria maana zina ghorofa, ndege zenye ghorofa ni airbus a 380 na boeing 747,
 

Good explanation,big up bro!!
 
Copenhagen mkuu una uhakika gani kama lugha uliyotumia kujibu swali kama mtoa mada anaielewa..kama hayo maelezo uliyotoa umeyaelewa si ungeyaweka tu kwenye lugha aliyotumia kukuulizia swali

usisumbuke saaana mkuu huyu kaingia google kutafuta jibu kakuta kuna mada kama hii sasa alipoliona jibu kakopy na kupaste
 
Last edited by a moderator:
Unaju mtu anaekimbilia kukosoa neno moja ambalo mtu amekosea, na likiinyesha kabisa mwandishi alikusudi kuandika vile, unakua unajishusha. Kwenye kutamka maneno yanakosea nini kuandika.


Likiinyesha ndio nini mkuu??
 
Inavoeleweka huku angani.......!

Mkuu upo angani nini?
 
..............................kule kuna baridi sana kiasi cha kufikia -50 Centigrade au zaidi...................


Mkuu, hiyo ni baridi sana????? 50 degree centigrade katika hali ya hewa ni joto sana. Labda kama ulikua na maana tofauti na nilivyoelewa mimi.
 
ndege ni ndege na roketi ni roketi vitu viwili tofauti.roketi huwa zinatumika sana kwenda anga za juu.ndege haziwezi kwenda anga za juu.hii ni kutokana kwanza na material yaliyotumka kuzitengeneza yako tofauti.kuhusu Moshi wakuu hapo juu wamekueleza vizuri sana
 
iweke kwa kiswahili,wengine kingereza majanga.:eyebrows:
 

Hii kitu
 

Attachments

  • 1425625242975.jpg
    19.6 KB · Views: 428
  • 1425625263638.jpg
    16.8 KB · Views: 418
kwa hiyo ipo tofauti kati ya rocket na jet?
Ndege kama Air bus, na boeng haziwezi kuwa rocket?
Rocket ina utofauti gani na dege zingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…