Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

.duh bila bila mkuu.tafsiri tafadhali
 
Kama ule sio moshi l hivyo basi ndege ya jeshi la wananchi la Tanzania itakua mbovu sana sababu inapita maeneo ya ilala kiasi cha mita mia moja toka chini lakini inatoa moshi mweusi

Inawezekana piston rings zimekufa Mkuu.. Au labda nozzle imeziba ndo maana unaona ule moshi..:lying:
 
Inawezekana piston rings zimekufa Mkuu.. Au labda nozzle imeziba ndo maana unaona ule moshi..:lying:
Ndege nyingi za jeshi hapa bongo ni zile zilizotolewa kama misaada kutoka ughaibuni,yaani ni kama zimeokotwa kutoka dampo la jeshi huko dunia ya kwanza na ya pili.umeshaiona ile helicopter ya polisi nyeusi tuliyopewa kutoka urusi? Ikipita hadi kuku wanakimbilia ndani mkuu!!! Kelele+moshi+sura mbaya! Ni balaa mkuu.
 
What you see is not smoke- they are contrails- short for condensation trails. The air is extremely cold at that altitude, the exhaust is hot, and contains a great deal of water vapor. When it comes in contact with the cold air, it condenses, and becomes visible, like fog or clouds. Ever see the "steam" roll out of the bathroom after a hot shower? Same idea.
 
Kwani kabla ya kuyeyushwa zinakuwa za rangi gani hizo barafu?
 

Umemaliza! Short and very clear.
 
Copenhagen mkuu una uhakika gani kama lugha uliyotumia kujibu swali kama mtoa mada anaielewa..kama hayo maelezo uliyotoa umeyaelewa si ungeyaweka tu kwenye lugha aliyotumia kukuulizia swali

Google na ka copy na ku paste
 
Last edited by a moderator:
Ile rocket hua inatua Cairo na durban South Africa tu hakuna viwanja zaidi ya hivyo Africa

Kwa majibu yaliyokwishatolewa na wachangiaji wa mwanzo ckuwa kabisa na haja ya kuchangia but umenifurahisha kidogo.rocket ni chombo cha usafiri unaweza kuiita ndege ila ni kwa ajili tu ya kusafiria kwenda anga za mbali kama vile mwezini na sayari zingine.hizo zote unazoziona zikitoa "moshi" ni ndege za abiria na mizigo za kawaida kabisa uzijuavyo.rocket siyo ndege ya abiria
 

Mi naona jamaa hakumaanisha roketi bali Jet. Maelezo yako kuhusu rocket ni sahihi lakini kwa nchi za kwetu huwezi ona rocket kwa sasa. Kwa sasa matumizi ya rocket ni kurusha satellite angani, kupeleka vyombo anga za mbali, kupeleka wanasayansi kituo cha anga cha kimataifa (international space station ) kilichopo zaidi ya 400km kutoka ardhini na pia rocket hutumika kama silaha za kimkakati (strategic weapons) kama unavyosikia makombora ya masafa marefu. Magwiji wa mambo ya rocket duniani kwa sasa ni Urusi na Marekani.
 
Mkuu, hiyo ni baridi sana????? 50 degree centigrade katika hali ya hewa ni joto sana. Labda kama ulikua na maana tofauti na nilivyoelewa mimi.

Angalia vizuri, ameandika -50 degrees Celsius (minus 50)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…