MichazPipoz
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 533
- 150
watu wanaconfuse sana kati ya rocket na madege makubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaomba kueleweshwa, kwanini upoelekea juu kutoka usawa wa bahari (altitude) joto hupungua angali unaelekea karibu zaidi na jua? Ninaomba maelezo kwa lugha nyepesi kidogo.
Thanks.
Mkuu, kweli wewe ni oil chafu, 50 centigrade ndo baridi kali??!!!!
Copenhagen mkuu una uhakika gani kama lugha uliyotumia kujibu swali kama mtoa mada anaielewa..kama hayo maelezo uliyotoa umeyaelewa si ungeyaweka tu kwenye lugha aliyotumia kukuulizia swali
Angalia vzr kaandika hiv -50 na siyo hiv 50.macho makengeza ww
Kwanza umeshawahi kupanda ndege? Ndege zinaporuka anga za mbali, e.g. KLM inapofika anga za juu, kule kuna baridi sana kiasi cha kufikia -50 Centigrade au zaidi. Kinachotokea ndege inapotoa moshi ule unakutana na mgandamizo mkubwa sana na baridi sana kiasi kuwa ule moshi unagandishwa ghafla.
Umeshawahi kujiuliza unapoamka asubuhi sana sehemu za baridi sana,. hewa unayotoa wakati unapumua kwa nini inakuwa kama moshi?
Hata kama sijawahi kupanda ndege wewe ulipo fika juu angan ulitoka nje au ulifungua dirisha ukahisi hilo baridi la -50?
Haaha.. Mkuu ulipoanza nilidhani ndio unatiririkangoja uje upewe majibu.
MOJA YA MAJIBU YATAKUWA
ule sio moshi bali ni...
heeey subiri watalaam waje
Kuna muda angani inapita rocket au ndege(sina uhakika kama ni plane)
Inakuwa inatoa moshi mwingi unaotengeneza kama njia ivi,
unakuta hata hiyo ndege yenyewe imeshapita na haionekani tena lakini ule moshi unabakia umechora njia,
Sasa wakuu hivi kile ni chombo gani?
Manake najiuliza katika karne hii wameshindwa kweli kubuni chombo kisichotoa moshi namna ile au ule moshi unaotoka unamaanisha nini?
Hebu mwenye Ufahamu atudadavulie ili tukifahamu zaidi,
Kumbe hata wewe hukijui?Ngoja wakuu waje![emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee mbona watu wanarushiana mipirangoja waje
Ndiyo,sikijui mkuuKumbe hata wewe hukijui?
Haya tumekuja,ila kwanza weka kapicha mkuungoja waje
Mnatuchosha mimi mwenyewe mimacho kodoo kupata maujuzi lakini holaa.Ndiyo,sikijui mkuu