Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Kama sikosei hii kitu ilishawahi kujadiliwa humu mda mrefu kidogo uliopita! Jaribu kufukunyua unaweza kuipata, kama vipi jaribu kuomba msaada kwa mods wakupe link!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, kila mtu hajui?ngoja waje
Tushakuja sasa.Embu nikumbushe swali lake nitiririkengoja waje
anaulizaaaaaaaaaaaaaaa kuhusu ndege ya urusiiTushakuja sasa.Embu nikumbushe swali lake nitiririke
Aisee hizo concord ni rocket auzamani tuliambiwa ni Concord. Siku hizi hamna Concord na bado zinapita
Sasa mbona kuna baaadhi ya ndege zinapita juu sana lakini hazito huo mvuke? Au ndi hivo vyombo vya hao watafiti tu ndo vyenye mtindo huo?Ule sio moshi ni kwamba kile chombo kinapita juu sana ambapo kuna baridi sana. Engine yake inapofanya mlipuko basi kinakua na joto zaidi na kupelekea kuonekana kama moshi. Mfano mzuri ni maeneo yenye baridi sana ukipumua kwa mdomo utaona moshi unatoka mdomoni. Ila sio moshi ni joto tuu. Sina uhakika sana kuhusu kile chombo ila niliwahi kusikia kwamba watafiti na mamlaka za hali ya hewa ndio huwa wanatumia kupata taarifa maeneo mbalimbali. Ndio maana kinaeza pita hata mara nne tuu tano utaona kinapita tuu.
Oh, shukrani mkuu,Kwanza mkuu inaweza kuwa ndege yoyote yenye engine aina ya jet.
Pili ule sio moshi ila ni sawa na kitendo cha wewe uwe sehemu yenye hali ya ubaridi utoe hewa kuptia mdomo utaona kama moshi moshi au wingu jepesi .
So jet engine ikiwa inapita juu kama ujuavyo jinsi unavyopanda joto linapungua na kuna unyevu nyevu kwente hewa.
Na jet engineinafanya kaz kwa kuvuta hewa kiasi kikubwa ndani kisha kuigandamiza, ikaichanganya na mafta kisha ikaiunguza na kuachia itoke kwa nyuma ikiwa n speed kubwa na joto.
Kwa hiyo inapotokea nyuma inakuwa pia na joto kubwa na unyevunyevu ikikutana na ubaridi wa nje ndipo inatengeneza ka wingu hilo unaloliona ndege inaaca nyuma.
Nimejitahidi kueleza japo kiswahili kigumu unapojaribu ongelea mambo technical
Enhee, inakuwa kama ivyo sema inapita umbali mrefu kiasi huwezi kuiona vizuri eidha ni ndege au rocket
Duuh, sasa kama kule inapopita haitoi taarifa, hiyo haiwezi kuteteresha usalama wa nchi endapo watakapoamua kudondosha mabomu au sumu?Ni ndege zinazopita katika anga la kimataifa kule anakopita aulizi njia kwa nchi husika...pia kule kuna mgandamizo wa hewa baridi inayokaribia kuganda inapopita ndege zile Jett engine zikitoa moshi wake unachoma hewa baridi inayokaribia kuganda na mwisho wake inatendeneza mawingu kama tumavyo yaona....kwa uelewa wangu.
huenda labda zilianzia urusiNilivyokuwa mdogo niliifaham kwa jina la "NDEGE URUSI"
Hiyo ni tabia ya jet engine na inategemea humidity iliyopo kwenye atmosphere na altitude kilipo muda huo.Sasa mbona kuna baaadhi ya ndege zinapita juu sana lakini hazito huo mvuke? Au ndi hivo vyombo vya hao watafiti tu ndo vyenye mtindo huo?