Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

Oh, shukrani mkuu,
Sasa kwanini watumie engine ya jet tuseme ndio madhubuti sana, au ni bei nafuu au hakuna aina ya engine inayoweza kufunction kwa umbali huo?
Jet engine ni more powerful na inaeezesha chombo kwenda speed kali sana hata ukitaka kiende super sonic speed kwa propeller ngumu.
Pia inatumika kupeleka chombo sehemu kusiko na hewa la msingi chombo kibebe fuel yake mfano hydrogen
 
Aisee hizo concord ni rocket au
Concord zilikuwa ni ndege zinazotengenezwa kwa ushirikiano kati ya britain na france.
Ndizo zilikuwa ndege za abiria pekee mpaka sasa zilizokuwa zinakimbi kuliko speed y sauti.
Ziliacha kutumika na kuzalishwa kwasbabu speed yake ilikuwa hatari kwa usalama wa wasafiri, pi zilikuwa na kelele sana na zilikuwa zinatumia mafuta mengi.
Pia speed yake mwanzo ilikuwa inasababisha body ya ndege kupata joto na kuungua ila zilifanyiwa marekebisho ya kiumbo na material kupunguza msuguano baina ya hewa na body ya ndege.
 
Advantage ya jet ni kwamba inaweza kuruka hata kwenye outer space. C&P Nzowa Godat
Yes lakini haikuwa designed kufanya hivyo.
 
Tulipokuwa wadogo tuliaminishwa kwamba hizo ndio roketi.

Tuliambiwa kwa afrika zinatua Misri na Afrika kusini tu.

Tuliambiwa kama kama umeiona ukiwa arusha(kwa mfano) ujue ipo misri.

Hata hivyo waliotuambia habari hizo hawakuwa na lengo la kutupotosha; huo ndio ulikuwa uelewa wao.

Nimewasamehe wote.
Ah ah ah ah ah
 
Hahah,,hii kwel imezeeka,,hv zinabebaga abiria kwel?

Zingine ni uzee tu kama hii..........

0239080.jpg
Hiyo sipandi, lazima mnirudishie nauli yangu.
 
Kweli hata mimi zamani enz niliwaza kama wewe, kuja kujua yale ni mawingu (noctilucend clouds) yaliyoganda hivyo ndege inapopita/inapochana njia ndio uweza kuonekana kama moshi lakini sio moshi. na hii mara nyingi ni kwenye layer ya troposphere 16 km juu ya uso wa Dunia.
 
Tulipokuwa wadogo tuliaminishwa kwamba hizo ndio roketi.

Tuliambiwa kwa afrika zinatua Misri na Afrika kusini tu.

Tuliambiwa kama kama umeiona ukiwa arusha(kwa mfano) ujue ipo misri.

Hata hivyo waliotuambia habari hizo hawakuwa na lengo la kutupotosha; huo ndio ulikuwa uelewa wao.

Nimewasamehe wote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] udogo raha sana
 
THINKINGBEING

wengine walienda mbali kabisa na kututandika fix kwamba ndege aina ya concord haziwezi kutuwa dar maana nyumba zote zingebomoka.

fix hizi zilienda sambamba kila siku Swiss international ikituwa tunaambiwa ndio dege la nyonya damu wamekuja kuchukuwa damu.
[emoji23]
 
Siyo kweli kwamba Jet engines zinaruka ktk outer space, kwa sababu aina hii ya engines huhitaji oxidants (oxygen) toka kwenye hewa nje ya engine...Rocket engines ndo zinaweza kuruka ktk outer space kwani zenyewe hubeba fuel pamoja na oxidants kabisa,hazihitaji hewa ya kutoka nje.
 
We unamkandia mwenzio wakati wewe ndiyo umeboronga. Yeye kaandika -50 (minus 50). Badala ya kuangalia kwa makini inakazania kuponda. Ona sasa umeshangaza umati. Hebu tupunguze tabia ya kutafuta kosa moja kwenye 99 ya mbolea. Au nyie ndo wale badala ya kushkuru "mvua imenyesha" mnalalamika "mvua imeleta matope"
Msamehe tuu. Hao wanasifa za Inzi.. Mdudu huyo kawaida yake hutafuta vibovu tuu
 
Duuh, sasa kama kule inapopita haitoi taarifa, hiyo haiwezi kuteteresha usalama wa nchi endapo watakapoamua kudondosha mabomu au sumu?
Au hiyo sheria ni kwa nchi za africa tu?
Cuz sidhani kama hadi marekani unaweza ukakatiza bila taarifa
Anasema id yake na registration pekee nataarifa chache na kuwa anapita anga ya nchi husika ila aombi kibali chakupita au kuomba njia.
 
kama alivyosema mkuu mmoja alietangulia Hizo huwa ni ndege ambazo zinapita juu sana na huko kuna baridi kali kiasi moshi unaotoka kwenye injini za ndege unaganda na unakuwa hautawanyiki kama hewa na kuchukuwa muda mpaka kufutika.
 
Yaani hili swali na majibu yake yanadhihirisha kuwa Tanzania tunasomea kujibu mitihani na sio kuelewa,inamaana wote mliotoa majibu hakuna Professional Engineer wa hizo mambo?
 
Back
Top Bottom