Kwanini ndizi mshare hazipatikani Kanda ya Ziwa?

Kwanini ndizi mshare hazipatikani Kanda ya Ziwa?

Huko songea unakuta mkungu wa mshare sijui mlali wanauza elf 2 mpk 3 tena wanakubembelezea. Hahaha
Jamaa hawajui ku appreciate utofauti wa culture, wanataka kuleta supremacy, ndizi mshale/mshare nyingine ni ngumu ngumu hata ikipikwa🤣🤣.
Punguza kelele Kagera ni mkoa Maskin sana hasa hizo Wilaya tatu nilizotaja .
Mimi Natokea Wilaya ya Rungwe na Sio Jiji .
Kama kweli umefanya kazi Mbeya huwez kulinganisha Wilaya za Mkoa wa Mbeya na Za huko kwenu Kagera.
Dar ipi unayoisema ?Maana ukienda Mabibo zimejaa mshare toka Mbeya ,ukienda Buguruni Mshare zimejaa ,alafu sio Mshare TU Mbeya Kuna Kila aina ya ndiz ambazo kwenu mnalima Mbeya zipo za kumwaga ndio hizo tunapikia Nguruwe .
Pia Kuna aina ya Ndiz zipo Mbeya ila Kagera hazipo.
Kabla sijafika Kagera nilijua ni mkoa wa maana sana kulingana na historia kua ni mkoa wa wasomi.
Ila kufika TU nilistaajabu sana Mkoa una Maskin wengi sana Tena wa kipato Cha chini sana tofaut na uhalisia wa mitandaoni
Kagera sio kwetu kwanza.
Umewasimanga sijui wachafu, wanatema mate hovyo...nikagusia hizo tabia zinaendana na hali duni n.k na hii nchi kiasi kikubwa rural areas zinataka kufanana kwa maana ya umasikini.

Kuhusu Dar nimekuuliza tukienda kwa mama ntilie tukiagiza ndizi nyama tutakuta ndizi zipi zaidi?🤣🤣.
Twende kote tuanzie buguruni tuagize ndizi nyama, twende Kimara tuagize ndizi nyama na kwingineko.
 
Acha dharau weweee, Mkoa tajiri na watu matajiri, difinition ya utabiri wa mtanzania Ni siri yake mwenyewe kwa maana ya namna anavyopata utabiri wake. Maana sishangai huko unakotamba hakuna umasikini ndiko kulikuwa kunaongoza kwa kupakua bongo za watu kwa nondo, watu wanasaka utajiri. Lakini pia kumgeuza mwanzo awe ndondocha uwe tajiri Ni kitu cha kawaida. And by the way ili mtu utambuliwe kuwa tajiri unahitaji uwe na worth kiasi gani kwa Tshs? Maana mwingine akifuga nguruwe watano ni tajiri, akimiliki gari na nyumba tajiri, duka...........Utajiri mnaojinasibu nao na kuwaona wengine masikini mnaupima kwa viwango Vipi. Tuanzie hapo
Nasemaje bado hamjasema mpaka mseme yote ,Ila ukweli ndio huo Kagera niliyokua naisikia ya wasomi Haina uhalisia na maisha ya kipato Cha mtu mmoja mmoja.
Yaan Wilaya ya Ngara ,Misenyi ifanane Rungwe, Mbeya vijijini ,Kyela ,Mbalal!!

Shida unaruka ruka Sana kwenye hoja nimekwambia maisha ya watu wa huko asilimia kubwa ni duni Sana nimekaa huko Zaid ya miaka nane .
Kwenye Kaya Mia tajir mwenye nafuu ni mmoja ,kule mtu akiwa maskin ni maskin kweli kweli .
Kagalie Pato la taifa Mikoa Mitatu inayoongoza kuchangia kwa Wingi ,Ukiikosa Mbeya uje hapa uniambie ,Pia nenda kagalie top 5 ukiipata kagera njoo useme hapa.
Huu ndio uthibitisho kuwa kagera ni mkoa maskin Sana na huwez fananisha na Mbeya .
Mbeya familia nyingi ni za kipato Cha wastan familia nyingi zinaendana endana kwenye kipato ,kwanza wnnalima Sana kisasa tofaut na huko kwenu.

Kagera wanategemea Ndiz Kama zao la biashara alafu wanalima ki local wakat Mbeya wanalima Ndiz ,viaz vya Chips ,mpunga ,Mahindi ,maharage Tena kilimo Cha kisasa ,ukipita Wilaya za Mbeya kila mahali yamejaa maduka ya pembejeo ,hii ni ishara kuwa watu wa mkoa huo wameelimika na wanafanya mambo kisasa na ndio matokeo ya familia kuwa na kipato Cha wastan ,watu hao hawez kuwa maskin kamwe.
Nimekaa Ngara na Misenyi kule wanaishi maisha ambayo Mbeya tuliishi miaka ya 90 huko.
Kwanza Wilaya nzima unakuta duka la pembejeo lipo moja nalo halina bidhaa zote..
Definition ya umaskin imebebwa na idad kubwa ya Kaya maskin ambao kwa kawaida ni wavivu pia wabish huku wakiwa na uelewa mdogo Sana juu ya kwenda na wakat .
Watu wa huko ni wabish wajuaj waloz ,Wana chuki Sana .
Mfano Ngara Nimeishi Kabanga ,Kuna soko lipo pale wamejaa Wahangaza tu hawatak wagen ,ukifungua biashara ni either uchawi mwingi wakikushindwa watakuibia ,Sasa sehemu ambayo soko tu hakuna mchanganyiko na makabila mengine wanawezaje kuwa uelewa wa Mambo?

Nimezunguka vijiji vingi Sana vya huo mkoa ukwel maisha ya Kaya moja moja yanatia mashaka sana.
Ukikutana na mtu kijiwen anavyojitapa unaweza hisi wewe umekuja kusindikiza hapa dunian ,Ila nenda kwake ni vituko vya Karne .
Nyie Wahangaza ,washubi,Wanyambo,Wahaya siwajibu Tena endeleen kutoa povu hapa Ila ukweli ndio huo ,hutak Baki Ivo Ivo.
Over
 
Zipo kibao kule bukoba...ndizi mshale huko bukoba ni chakula cha maskini wale wasio na ndizi nene za bukoba....

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hazina maji ya kutosha so hawazipendi.... Unajua kazi ya yale maji kwenye ndizi za kanda ya ziwa?

Pia hazistawi kule kwa sababu ya hali ya hewa....
 
Mwanza, Shinyanga, Kahama, Geita, Kagera, na Kigoma! Kote huko sijawahi kukutana na ndizi mshare. Ndizi zinazopikwa maeneo tajwa ni ndizi ambazo kwa Arusha na Kilimanjaro, ukikuta mtu kazipika, ujue ni amekosa kabisa cha kupika. Si matumizi yake.

Nilikula ndizi kwa mara ya kwanza jijini Mwanza mwaka 2010. Nilishangaa nilipokuta ni ndizi ambazo kwa Arusha na Kilimanjaro zinatumika kwa kupikia mtori au kuvundikwa kwa ajili ya kutengenezea pombe. Nilikula kwa kuwa sikuwa na namna, isitoshe, nilikuwa ugenini na ziliandaliwa kwa ajili yangu.

Tokea nikiwa mdogo, nilikuwa nikijua kuwa ndizi zinazotumika kupikia "ndizi" ni NDIZI MSHARE, KIMALINDI, n.k., lakini si ndizi ng'ombe.

Ni kwa nini hizo ndizi hazipatikani Kanda ya Ziwa?

= mshale

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Nimeisha sana Kagera kiukwel nilipata shida kuzoea ndiz za kule.
Yaan wanakula mindiz fulan Mbeya tunaita eselya wao eti ndio ndiz yenye hadhi wakat Mbeya hayo mandiz tunawapikia Nguruwe.
Kuna Kambani za kuiva wao wanaita ndiz Sukari.
Kiukwel watu wa Kagera waje Mbeya kujifunza namna ndiz zilivyo .
Mindiz ya Kagera kwanza Haina Radha kabisa ila wao wanavyoyapenda sasa .
Wao ni ndiz maharage ,Au Magimbi mixer maharage.
Kiukwel watu wa mkoa ule hawajui vyakula vingi ,Hadi makande ya mahindi mabichi hawayajui kabisa.

Chakula kikuu Kagera ni Ndiz maharage ,Magimbi maharage ,mihogo maharage ,Wali maharage, tofaut na hapo hamna jipya.
Hata watumishi wa umma wakitoka ule mkoa wakaenda mikoa mingine hasa hii ya nyanda za juu kusin hawatak kabisa habar za kurudi kwao wanaona kama walikosa vitu vingi Sabab ya kuwa gizan .
Kuna Wilaya kama Misenyi ,Ngara ,Biharamulo ,ni Wilaya maskin sana Kwa ule mkoa na watu wa hizo Wilaya wanaish Maisha ya kizaman sana alaf wajuaj balaa wakat ukwel ni kwamba ni Washamba sana.
Uchafu sasa ndio usiseme hasa Wilaya ya Ngara wahangaza unakuta jitu linatema mate barabara Nzima .
Kamasi yanatolea mkono Tena mbele za watu.
Hovyo sana hao watu Sitaman hata kurud huo mkoa.
Mimi naona wew ndo mshamba na mpumbavu....ukienda mahali fulani respect culture ...ukiwa Roma ishi kama Waroma sio kuleta dharau na kujiona wamatawi...

Hayo mambo ya uchafu na kadhalika yako kila mahali...Tazama jiji la mbeya lilivyo na ujenzi wa hovyo na slums kila kona kama kijiji vile...jiji ni chafu na vumbi kila sehemu...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Punguza kelele Kagera ni mkoa Maskin sana hasa hizo Wilaya tatu nilizotaja .
Mimi Natokea Wilaya ya Rungwe na Sio Jiji .
Kama kweli umefanya kazi Mbeya huwez kulinganisha Wilaya za Mkoa wa Mbeya na Za huko kwenu Kagera.
Dar ipi unayoisema ?Maana ukienda Mabibo zimejaa mshare toka Mbeya ,ukienda Buguruni Mshare zimejaa ,alafu sio Mshare TU Mbeya Kuna Kila aina ya ndiz ambazo kwenu mnalima Mbeya zipo za kumwaga ndio hizo tunapikia Nguruwe .
Pia Kuna aina ya Ndiz zipo Mbeya ila Kagera hazipo.
Kabla sijafika Kagera nilijua ni mkoa wa maana sana kulingana na historia kua ni mkoa wa wasomi.
Ila kufika TU nilistaajabu sana Mkoa una Maskin wengi sana Tena wa kipato Cha chini sana tofaut na uhalisia wa mitandaoni
Mkuu Takwimu za NBS zinasema 70% ya ndizi nchi hii zinatoka kagera...acha ubishi...kama unataka data nitakupa...

Kuhusu umaskini Tanzania kote ni maskini wala hatuna maendeleo yoyote unayoweza kusema mbele ya watu na kufika stage ya kuchekana..
Huko mbeya nako ni utumbo mtupu ukianza na hilo jiji la vumbi na slums....

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Acha dharau weweee, Mkoa tajiri na watu matajiri, difinition ya utabiri wa mtanzania Ni siri yake mwenyewe kwa maana ya namna anavyopata utabiri wake. Maana sishangai huko unakotamba hakuna umasikini ndiko kulikuwa kunaongoza kwa kupakua bongo za watu kwa nondo, watu wanasaka utajiri. Lakini pia kumgeuza mwanzo awe ndondocha uwe tajiri Ni kitu cha kawaida. And by the way ili mtu utambuliwe kuwa tajiri unahitaji uwe na worth kiasi gani kwa Tshs? Maana mwingine akifuga nguruwe watano ni tajiri, akimiliki gari na nyumba tajiri, duka...........Utajiri mnaojinasibu nao na kuwaona wengine masikini mnaupima kwa viwango Vipi. Tuanzie hapo
Achana naye huyo....hiyo mbeya wanaoita jiji ukifika utashangaa mwenyewe...ni kijiji na slums tupu....

Tanzania hii hakuna mahali kuna ahueni...ni umaskini mtupu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona wew ndo mshamba na mpumbavu....ukienda mahali fulani respect culture ...ukiwa Roma ishi kama Waroma sio kuleta dharau na kujiona wamatawi...

Hayo mambo ya uchafu na kadhalika yako kila mahali...Tazama jiji la mbeya lilivyo na ujenzi wa hovyo na slums kila kona kama kijiji vile...jiji ni chafu na vumbi kila sehemu...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Muulize swali simple tu na dharau zake, katika hiyo wilaya au kata, yeye aliweza kuwa tajiri namba ngapi?

Jamaa tu anavyo sound unajua kabisa
kipato chake ni kile kile cha wananchi wengi less than 1M kwa mwezi cha kwenda nacho home🤣.

Unajua tu akiumwa kidogo tu, matibabu india dollar elfu saba, atakuja mpaka humu kuomba msaada.

Halafu anakaa anasimanga watu kuhusu poverty wakati nae yumo humo humo🤣.

Nayajua vizuri majitu ya hivi bila hata kuyaona.

Natumia lugha ya hivi sababu huwa ni majitu yanatia "kinyaa masikioni" kuyasikiliza, halafu yanakuwa yanajiuliza mbona watu kama wanayakataa kataa.
 
Achana naye huyo....hiyo mbeya wanaoita jiji ukifika utashangaa mwenyewe...ni kijiji na slums tupu....

Tanzania hii hakuna mahali kuna ahueni...ni umaskini mtupu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mwaka 2014 walizindua lift ya kwanza, wakafanya sherehe ya jiji zima, na wanasisitiza wananchi kuhudhuria.

Leo huyu sijui msafwa, sijui mnyakyusa anaita watu wa mkoa flani masikini, wakati nchi hii hususan maisha ya wananchi mmoja mmoja majority ni masikini.

Na uchumi wetu bila hata kuhangaika unajua kabisa almost 60 to 80 percent umeshikiliwa na watu wa asili ya asia ambao kwa idadi yao ni chini ya asilimia 30.
Mbeya kiuchumi iko juu kwa Kagera, lakini jamaa kaja na andiko la kifala sana.

Nilishangaa sana, lift mi nimetumia nikiwa na miaka 10 miaka ya tisini mwanzoni, Arusha jengo la AICC. Mbeya 2014 wanatuaibisha na makelele kabisa, sasa huu ulikuwa ujanja au ushamba?
 
Attachments

  • 20231008_112107.jpg
    20231008_112107.jpg
    88.8 KB · Views: 1
Muulize swali simple tu na dharau zake, katika hiyo wilaya au kata, yeye aliweza kuwa tajiri namba ngapi?

Jamaa tu anavyo sound unajua kabisa
kipato chake ni kile kile cha wananchi wengi less than 1M kwa mwezi cha kwenda nacho home[emoji1787].

Unajua tu akiumwa kidogo tu, matibabu india dollar elfu saba, atakuja mpaka humu kuomba msaada.

Halafu anakaa anasimanga watu kuhusu poverty wakati nae yumo humo humo[emoji1787].

Nayajua vizuri majitu ya hivi bila hata kuyaona.

Natumia lugha ya hivi sababu huwa ni majitu yanatia "kinyaa masikioni" kuyasikiliza, halafu yanakuwa yanajiuliza mbona watu kama wanayakataa kataa.
Hiu Tanzania hakuna wa kumcheka mwenzake...labda wale wezi wa serikalini huko na wasiishi hapa Tanzania....

Ila kama anaishi hapa Tanzania...Tabu iko pale pale...

Hakuna mahali kuna maendeleo Tanzania kote ni umaskini kuanzia Dar hadi huko kigoma...
Hakuna mtu wa kumcheka mwenzake....Tanzania ni ya 27 kwa umaskini duniani imagine.....
 
Zipo lakini huku hazilimwi maana zinahitaji mazingira ya baridi ili kustawi vizuri.

Kwaio kuna wachache hua wanazileta sema bei yake inakua juu kidogo hivyo wanaoweza ku afford ni wachache.
Another thing ni kua, most people ambao ni natives wa lake zone, ni heavy feeders, so quantity matters more than quality, i think unanielewa.

Ni kama zile ndizi sukari original, unakuta bei yake kwa ndizi moja ni almost sawa na hizi ndizi kubwa, so most people opt for hizo ndizi kubwa kama njoge n.k, but few people who like ndizi sukari hawawazi kulipa that ammount.
Sidhani kama upo sahihi sana, ndizi zunastawi kutokana na mazingira, hao kanda ya ziwa wanakula kinachostawi sana kwao vile vile moshi na arusha
 
Nimezaliwa kanda ya ziwa,, naishi kanda ya ziwa na huenda nitafia kanda ya ziwa ama kuzikwa ziwani kabisa,, ngoja niseme ukweli wangu ndizi kama ndizi ni chakula rasmi kwa watu wa Kagera tu, huku Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Kahama, Musoma ni kitafunwa cha asubuhi kwa chai ama supu, huwa nawashangaa sana jamaa zangu wa kichaga kazini eti wanashindia ndizi,,
Wachaga wapumbavu sana, kitafunwa wanafanya chakula
 
Back
Top Bottom