Kwanini ndoa kati ya Wahindi na Waafrika, hasa Watanzania ni chache?

Wadau,

Katika pitapita zangu nimejaribu kutafiti hili suala kwa nini mara chache sana tunaona ndoa kati ya wabongo na wahindi?

Je, shida ipo wapi?
Wahindi ni wachoyo sana.Hawapendi watoto wao wa kike waolewe na waturutumbi wakidhani wataumizwa kisaikolojia,kiuchumi na makadhalika wa kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…