Kwanini ndoa kati ya Wahindi na Waafrika, hasa Watanzania ni chache?

Kwanini ndoa kati ya Wahindi na Waafrika, hasa Watanzania ni chache?

Tatizo wanawake hatuna mahari ya kuwalipia wahindi… 😁
 
Wahindi wana jamii zao. Kuoa mhindu ni kipengele, wahindi kutoka Goa ukitaka unamuoa bila pingamizi lolote.
 
Wanaokuja bongo wanakuwa kama familia tayari wanapeana taarifa kuhusu tamaduni za hapo. Ukiendq kwao India au Dubai wanawake wa kihindi wanaolewa vizuri na watu weusi
 
hewallah, umepatia pale kapoor singh, watoto wake kina gurdeep, amardeep, sanjaydeep na wengine wengi wa mama wa kichaga
Kwa bahati mbaya huyo Mama kafariki Mwaka jana, Watoto wake wawili nawajua mmoja wakike nipo nae Ofisi Moja
 
Watoto wake nimepiga nao kitabu pale mwenge sec.
mi mwenye nimepiga book na yule wa kike. Wale wa kiume moja nilimzida kidato na mwingine alinizidi vidato viwili ila tulikuwa naye kwenye club ya fine art mwenge
 
Kwa bahati mbaya huyo Mama kafariki Mwaka jana, Watoto wake wawili nawajua mmoja wakike nipo nae Ofisi Moja
huyo wa kike ni classmate wangu pale mwenge secondary. Enzi hizo tulisoma na watoto wa vigogo wa serikali na wafanyabiashara wakubwa. Watoto wa wakuu wa wilaya, waziri na madiwani tulisoma nao.
 
Back
Top Bottom