Wadau,
Katika pitapita zangu nimejaribu kutafiti hili suala kwa nini mara chache sana tunaona ndoa kati ya wabongo na wahindi?
Je, shida ipo wapi?
Ndoa ndio kipengele ila kula au kuliwa kawaida sana, wale wa Posta na Upanga wanatoa kiroho safi tu kwa maniga.Wapigie tu punyeto kwenye picha zao inatosha
Waarabu ni waswahili kama sie mkuuMmh ila mbona waarabu na wabongo ndoa zipo nyingi sana
Hawapo kwenye mazingira niliopo pia mazingira niliyokuliaUnaamini wengine hawakuwa kwenye mazingira kama yako?
Ndio shemeji ulitoka naye kwa Patel ? 😅Unataka utaweza? Tunatofautina sana tamaduni.
Kaka anaingia chumbani kwa dada yake bila hodi, au hodi moja mguu ndani. Kila nikikumbuka mwili unaisimka kwa uoga.
🤔
😂😂😂 Walaaa huyu tulikutana tu mahali.Ndio shemeji ulitoka naye kwa Patel ?
Haha walaa.Ulipigwa chabo mkuu??
Vijana mna mambo kweli kweli .😂😂😂 Walaaa huyu tulikutana tu mahali.
Kwa patel rafiki angu alikuwa na kibwana kinaitwa Brami (Abraham) Kisharobaro hatari .
Hizo nyingi za wapi, zipo lakini ni chache sanaMmh ila mbona waarabu na wabongo ndoa zipo nyingi sana
Genetic exchangeNioe muhindi wanini wakati kuna wabongo wengi sana wazuri tu.
Mkuu mkuu acha tuu naumwaPoor Brain vipi ushachapa wahindi utupe hiyo expirience??
Namfaham marehem mzee Jaswant!Kuna singasing alikuwa ameoa mke mchaga, watoto wakatoka ni masingasinga wa kiume na kike
hewallah, umepatia pale kapoor singh, watoto wake kina gurdeep, amardeep, sanjaydeep na wengine wengi wa mama wa kichagaNamfaham marehem mzee Jaswant!