Kwanini ndoa kati ya Wahindi na Waafrika, hasa Watanzania ni chache?

Kwanini ndoa kati ya Wahindi na Waafrika, hasa Watanzania ni chache?

Hivi rungu la kiafrika unalichukulia poa watu tuna marungu bwana a.k.a hogo yaaan wanaume wa kihindi wakiviangalia vibamia vyao wanaona ni bora wazuie dada zao wasiolewe na sisi maana wakiruhusu tu nani atakubali kukaa na kibamia
 
huyo wa kike ni classmate wangu pale mwenge secondary. Enzi hizo tulisoma na watoto wa vigogo wa serikali na wafanyabiashara wakubwa. Watoto wa wakuu wa wilaya, waziri na madiwani tulisoma nao.
Nilikua class moko na Ab-kandoro wee ni mwana utakua unanimanya mwigizaji mashuhuri nilieleta tuzo Toka udsm
 
Jamii za Asia ni ngumu kuchangamana nazo si kwa mahusiano tu hata kwenye kazi.
Nadhani ni utamaduni wao uko mkali sana kuchangamana na watu wa rangi nyingine hasa sisi weusi. Walishatuweka ni rangi yenye laana mda tu. Uzoefu wa hili ninao kwa rafiki yangu.
Na wahindi kutokea kusini nao wanabagiliwa??
 
huyo wa kike ni classmate wangu pale mwenge secondary. Enzi hizo tulisoma na watoto wa vigogo wa serikali na wafanyabiashara wakubwa. Watoto wa wakuu wa wilaya, waziri na madiwani tulisoma nao.
Hongera Mkuu wangu, Wewe utakuwa Mshua Maana huyo wakike ki mtu mzima sana kwnagu sema Mtu Pouwa sana hapo Job
 
Na wahindi kutokea kusini nao wanabagiliwa??
2011 nilobahatika kifika India wale jamaa ni washenzi hata wemyewe kwa wenyewe wanabaguana sana Wahindi toka kusini ambao wengi ni weusi na wapo weusi tii wanabaguliwa na wale wahindi Weupe kwa mengi hata Madukani tu
 
Nilikua class moko na Ab-kandoro wee ni mwana utakua unanimanya mwigizaji mashuhuri nilieleta tuzo Toka udsm
dada yake nilisoma naye, alikuwa pisi kali huyo classmate wangu mtoto wa kandoro enzi hizo kandoro ni mkuu wa wilaya ya singida
 
Demu wangu aliekua nurse alinambia malaria ni gonjwa la kizembe.
Sitadiriki tena kuwa na demu nurse, Mwaka 2009 nilipata demu pale Amana hospital, yaani kila tukikutana faragha ananipima HIV na kifaa chake..

Niliona ananichanganya nikampotezea baada ya kukutana naye kama mara nne hivi.
 
My mom niko poa na bado naendelea kuchakaza nyapu..

Nachakaza ile ile inafikia kipindi watu wanataka toroka kwao kabisa
Naona hujaacha asili, ni humu tu

kuichapa ndizi banana.GIF
 
Naona hujaacha asili, ni humu tu

View attachment 3539031
Yaaah kwa sasa kwa week naloweka mara 4 hii siku moja nayoacha kulombana ni ijumaa tu nayo kwa sababu naenda kulia kwa mola wangu.

Ila siku zingine zote ni kuichapa tuu tena kwa sasa naona kabisa wanahadithiana maana nachapa alafu natafuta sababu ananiacha naenda kwa mwingine.

Ila kwa mashangazi ndo kidogo nakaa nao.
 
Sitadiriki tena kuwa na demu nurse, Mwaka 2009 nilipata demu pale Amana hospital, yaani kila tukikutana faragha ananipima HIV na kifaa chake..

Niliona ananichanganya nikampotezea baada ya kukutana naye kama mara nne hivi.
Mimi zilinitisha tu zile night shift zao, naskia wanachapana sana.
 
2011 nilobahatika kifika India wale jamaa ni washenzi hata wemyewe kwa wenyewe wanabaguana sana Wahindi toka kusini ambao wengi ni weusi na wapo weusi tii wanabaguliwa na wale wahindi Weupe kwa mengi hata Madukani tu
Duh ubaguzi una exist huko
 
Wadau,

Katika pitapita zangu nimejaribu kutafiti hili suala kwa nini mara chache sana tunaona ndoa kati ya wabongo na wahindi?

Je, shida ipo wapi?
Wahindi wana kitu kinaitwa caste system, madaraja, madaraja haya yapo kidini.

Hata wao kwa wao mtu wa daraja la juu kuoa au kuolewa na mtu wa daraja la chini haikubaliki.

Sasa ikija kwa wewe muafrika mtu wa nje ya mfumo wao, ukiingiza na ubaguzi wa rangi (hata kwao wahindi walio na ngozi nyeusi wanaonekana wa chini zaidi) hapo ndoa na Waafrika zinakuwa ngumu sana.
 
Dah hawa watu ni wabaguzi mno, bongo karibu wote ndoa nyingi ni z wao kwa wao.
 
Back
Top Bottom