Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
-
- #21
π Wazungu wanatuamini sanaWahindi ni wachoyo sana.Hawapendi watoto wao wa kike waolewe na waturutumbi wakidhani wataumizwa kisaikolojia,kiuchumi na makadhalika wa kadhaa.
Hamna kitu.Wote wana tako moja bapa/flat kama teevee ya mkopo ya Alitop.π Watoto chotara
Jamii za Asia ni ngumu kuchangamana nazo si kwa mahusiano tu hata kwenye kazi.Wadau,
Katika pitapita zangu nimejaribu kutafiti hili suala kwa nini mara chache sana tunaona ndoa kati ya wabongo na wahindi?
Je, shida ipo wapi?
Poor Brain vipi ushachapa wahindi utupe hiyo expirience??Wahindi wana kike Wana 'K' loose kiasi kwamba mwafrika akiingiza kibamia chake kinapwaya.
HuuβοΈni mtazamo wangu.
Alikuwa rafiki wa binti Moja wa kihindi pale CIVE ya YUDOMU sasa sijui kama alimla ama alikuwa anamsindikiza tu kwa wahuni.Poor Brain vipi ushachapa wahindi utupe hiyo expirience??
Anzia kwako! Nini kimeshindikana kwa wewe kuwa na mke mhindi?Wadau,
Katika pitapita zangu nimejaribu kutafiti hili suala kwa nini mara chache sana tunaona ndoa kati ya wabongo na wahindi?
Je, shida ipo wapi?
Tamaduni hazifananiWadau,
Katika pitapita zangu nimejaribu kutafiti hili suala kwa nini mara chache sana tunaona ndoa kati ya wabongo na wahindi?
Je, shida ipo wapi?
π€Mm mke yupo tayari mwafrika mwenzanguAnzia kwako! Nini kimeshindikana kwa wewe kuwa na mke mhindi?
Kwani ulizaliwa ukiwa umeoa?π€Mm mke yupo tayari mwafrika mwenzangu
HapanaKwani ulizaliwa ukiwa umeoa?
Sasa kwanini ulipotaka kuoa hukuoa mhindi?Hapana
Ulipigwa chabo mkuu??Unataka utaweza? Tunatofautina sana tamaduni.
Kaka anaingia chumbani kwa dada yake bila hodi, au hodi moja mguu ndani. Kila nikikumbuka mwili unaisimka kwa uoga.
π€
Sikuonana nao kwenye mazingira niliopoSasa kwanini ulipotaka kuoa hukuoa mhindi?
Unaamini wengine hawakuwa kwenye mazingira kama yako?Sikuonana nao kwenye mazingira niliopo
Wa Goa asili yao ni Ureno. Actually majority ni Wakristo tena Wakatoliki. Baada ya uhuru wa Taifa la India walitaka wajitenge kuwa nchi yao ila ikawa ngumu.Sio wote kuna baadhi ya tabaka tunaoana vizuri mfano kama GOA wengi wameolewa na Wa Africa
Hao ni maskini sana tabaka la ChiniSio wote kuna baadhi ya tabaka tunaoana vizuri mfano kama GOA wengi wameolewa na Wa Africa