ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
Na unakitumia vyema sio??Alhamdullilah kwenye hilo la kumbatombato Mungu kanipa kipaji
Nilikua class moko na Ab-kandoro wee ni mwana utakua unanimanya mwigizaji mashuhuri nilieleta tuzo Toka udsmhuyo wa kike ni classmate wangu pale mwenge secondary. Enzi hizo tulisoma na watoto wa vigogo wa serikali na wafanyabiashara wakubwa. Watoto wa wakuu wa wilaya, waziri na madiwani tulisoma nao.
Na wahindi kutokea kusini nao wanabagiliwa??Jamii za Asia ni ngumu kuchangamana nazo si kwa mahusiano tu hata kwenye kazi.
Nadhani ni utamaduni wao uko mkali sana kuchangamana na watu wa rangi nyingine hasa sisi weusi. Walishatuweka ni rangi yenye laana mda tu. Uzoefu wa hili ninao kwa rafiki yangu.
Hongera Mkuu wangu, Wewe utakuwa Mshua Maana huyo wakike ki mtu mzima sana kwnagu sema Mtu Pouwa sana hapo Jobhuyo wa kike ni classmate wangu pale mwenge secondary. Enzi hizo tulisoma na watoto wa vigogo wa serikali na wafanyabiashara wakubwa. Watoto wa wakuu wa wilaya, waziri na madiwani tulisoma nao.
2011 nilobahatika kifika India wale jamaa ni washenzi hata wemyewe kwa wenyewe wanabaguana sana Wahindi toka kusini ambao wengi ni weusi na wapo weusi tii wanabaguliwa na wale wahindi Weupe kwa mengi hata Madukani tuNa wahindi kutokea kusini nao wanabagiliwa??
dada yake nilisoma naye, alikuwa pisi kali huyo classmate wangu mtoto wa kandoro enzi hizo kandoro ni mkuu wa wilaya ya singidaNilikua class moko na Ab-kandoro wee ni mwana utakua unanimanya mwigizaji mashuhuri nilieleta tuzo Toka udsm
Sitadiriki tena kuwa na demu nurse, Mwaka 2009 nilipata demu pale Amana hospital, yaani kila tukikutana faragha ananipima HIV na kifaa chake..Demu wangu aliekua nurse alinambia malaria ni gonjwa la kizembe.
My mom niko poa na bado naendelea kuchakaza nyapu..Mbona taharuki?
Poor Brain uko salama my son?
Naona hujaacha asili, ni humu tuMy mom niko poa na bado naendelea kuchakaza nyapu..
Nachakaza ile ile inafikia kipindi watu wanataka toroka kwao kabisa
Yaaah kwa sasa kwa week naloweka mara 4 hii siku moja nayoacha kulombana ni ijumaa tu nayo kwa sababu naenda kulia kwa mola wangu.
Mimi zilinitisha tu zile night shift zao, naskia wanachapana sana.Sitadiriki tena kuwa na demu nurse, Mwaka 2009 nilipata demu pale Amana hospital, yaani kila tukikutana faragha ananipima HIV na kifaa chake..
Niliona ananichanganya nikampotezea baada ya kukutana naye kama mara nne hivi.
Duh ubaguzi una exist huko2011 nilobahatika kifika India wale jamaa ni washenzi hata wemyewe kwa wenyewe wanabaguana sana Wahindi toka kusini ambao wengi ni weusi na wapo weusi tii wanabaguliwa na wale wahindi Weupe kwa mengi hata Madukani tu
Wahindi wana kitu kinaitwa caste system, madaraja, madaraja haya yapo kidini.Wadau,
Katika pitapita zangu nimejaribu kutafiti hili suala kwa nini mara chache sana tunaona ndoa kati ya wabongo na wahindi?
Je, shida ipo wapi?
Dah hawa watu ni wabaguzi mno, bongo karibu wote ndoa nyingi ni z wao kwa wao.Wahindi wana kitu kinaitwa caste system, madaraja, madaraja haya yapo kidini.
Hata wao kwa wao mtu wa daraja la juu kuoa au kuolewa na mtu wa daraja la chini haikubaliki.
Sasa ikija kwa wewe muafrika mtu wa nje ya mfumo wao, ukiingiza na ubaguzi wa rangi (hata kwao wahindi walio na ngozi nyeusi wanaonekana wa chini zaidi) hapo ndoa na Waafrika zinakuwa ngumu sana.