MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Mwambie HuyoHaikuhusu
Wewe mamboo nataka nikuhongee ,Majina hayo kuyakuta bungeni au wizarani nipo pale
TAIFA SECONDARY
AseeWewe mamboo nataka nikuhongee ,
Haya ndio majina halisi ya mwafrica ambayo kawaida wanapewa kulingana na mazingira, siyo mtu unabeba majina ya kiarabu, kizungu....nawapongeza kulinda mila na tamaduni zetuAmani iwe nanyi
Wakati tunakua, bado Dar es Salaam ilikua na wazaramu wengi na nilibahatika kusoma na watu wenye majina kama SIKITU, SIWATU, SIWAZURI, TABU, MATESO, HAVINITISHI, SIKUDHANI, KIDAWA, CHAUREMBO na majina mengi ya namna hiyo.
Sasa, sijui hekima ya wazee wa kizaramo ilikua ina kusudia nini?
Wakati mwingine, though it is a myth, jina linaweza kubeba au kusadifu aina ya maisha ya huyo mtoto baadae.
Watalaamu embu dadavueni
IPO hasa kama binti alieolewa kakutana na mambo ya kishirikina ukweni lakini na yeye anajiamini Yuko fiti...ndo anawajibu "Havintishi'Ila hili sijawah skia "HAVINITISHI"
Akina sinaubaya, havijawa, bahati, ...Amani iwe nanyi
Wakati tunakua, bado Dar es Salaam ilikua na wazaramu wengi na nilibahatika kusoma na watu wenye majina kama SIKITU, SIWATU, SIWAZURI, TABU, MATESO, HAVINITISHI, SIKUDHANI, KIDAWA, CHAUREMBO na majina mengi ya namna hiyo.
Sasa, sijui hekima ya wazee wa kizaramo ilikua ina kusudia nini?
Wakati mwingine, though it is a myth, jina linaweza kubeba au kusadifu aina ya maisha ya huyo mtoto baadae.
Watalaamu embu dadavueni
Ni fikirishi sana, nadhani hawawazi madhara yake kwa huyo mtoto, mfano ukimwita SHIDA mtoto si anaweza pigika maisha yake yote?Majina ya wazaramu Yana message ...
Mara nyingi yalikuwa Yana define watu walivyo hasa ukweni ..
Binti akiolewa jinsi atakavyo pokelewa ukweni ndo atakavyo toa majina Kwa watoto wake....Sikudhani...manake hakudhani Hali iko kama alivyoikuta huko ukweni ..Siwatu...manake familia ya mume sio watu...labda wanamtesa...Sikitu manake hakuna shida atavumilia Tu n.k n.k Siwazuri...,Mateso n.k mostly huwa ni mama alieolewa ana define wakwe au majirani.....wazaramo wenyewe wanajua
Wasukuma wanatisha!Wapo akina sinaubaya, chaurembo, bahati....
Ni vile tu wao wanatumia kiswahili. Wengine wanatumia zaidi ya 'kilugha'
Japo ukienda usukumani wapo akina cherehani, bakuli, sahani, majaba, nk