Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Nyamayao hivi huwa lina maana ganiKwa hiyo kumwita mtoto John, Emmanuel, Abdallah, Mohammed ni sawa.
Ila ukimwita Aishi, Tabu, Ubaya, Apendwae, Aizari, Msiba ,Nyamayao, Cha wote, Mzuri sio sahihi?
Mnajua hata maana na hayo majina mnayojifaharisha nayo?
Mimi katoto kangu ka kike nimekiita SALAMA na WA kiume Aishi akipatikana wa tatu ni TABU.