Kwanini ndugu zetu wazaramu wanawapa watoto majina fikirishi?

Mbona wewe unaitwa Mixologist hatusemi
 
Lipo kipindi cha JPM kuna Mama kuna Mama alikuwa analia shida JPM akamuuliza unaitwa nani Mama, naitwa HAVINITISHI mpaka Magu akacheka [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama namkumbuka vile, yule mama alizawadiwa mihela kwenye ziara ya JPM Pale Morogoro viwandani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…