Kwanini ng’ombe wasipigwe nusu kaputi kabla ya kuchinjwa?

Unanikumbusha kabla ya dissection ya Chira na panya nilivyokuwa namchoma msumari wa kichwa. Hivi haiwezekani kutumia kanuni hii kwa mbuzi na ng'ombe?
 
Atleast hiyo alikuwaa anapata maumivu ya ghafla mara moja then anakufa, nadhani hii itumike kwa wanyama kabla ya kuchinjwa jamani, em just imagine, just imagine
 
Changamoto ni "wash out period" yani muda ambao dawa itaishi kwenye mwili wa ng'ombe kabla ya kutoka nje kupitia mkojo au njia zingine.

Inapaswa ng'ombe alie kwenye tiba akae walau siku 14-28( kutegemea na dawa) ndipo achinjwe, ili kiruhusu dawa hiyo itoke nje ya mwili na kuepuka madhara kwa mtumiaji

Ndio maana hatutumii nusu kaputi kabla ya kuchinja wanyama hawa
 
Wafanyiwe ‘Bolt stunning’ basi angalau
 
Back
Top Bottom