baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Sasa Mimi nimeleta tafiti takriban 4 hapo juu ni mfia dini, wewe ulioandika blah blah bila tafiti hata moja unajiona upo sahihi?Stunning mnyama anakuwa unconscious..ila akichinjwa damu yote ina mwagika tembelea machinjio ya kisasa kama dodoma ama arusha uone inavyofanyika.
Acha kupotosha watu..
Hiyo ya kusema anapata maumivu sana hujatolea ufafanuzi..ila kisayansi kiumbe kilicho nusu kaputi kinapataje maumivu?
Acha illusion zako za kidini hili ndio tatizo la wafia dini.
Sikatai ni mawazo yako ila in modern world mambo hayaendi kwa hisia bali kwa tafiti..na stunning ilifanyiwa tafiti hadi kuwa recommend way ya kumuua mnyama bila maumivu.
Na hii husaidia sana damu nyingi kutoka kwenye nyama ili kuogeza quality ya nyama.
Kasome articles mbalimbali zinaelezea hili kwa undani acha kuleta illusions.
#MaendeleoHayanaChama
Unaweza ukaleta utafiti wako tofauti na hizo tafiti za juu? Unaweza mpinga Professor Wilhelm Schulze wa University of Germany Kwa kuleta utafiti wako ukionesha njia ya Kustun mnyama hapati maumivu mengi?
Unaweza pingana na hao watafiti wengine kwamba Nyama ya kustun Ina PH chache na Ina mwaga damu yote?
Kama ni ndio tafiti zako zipo wapi?