FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
[emoji16][emoji16]mbuzi gan atakuwa anakuangalia unafanya hatua zote hizo za dissection, ni kupiga panga au shoka moja chap, kazi imeishaUnanikumbusha kabla ya dissection ya Chira na panya...
Hivi what if mtu ukifa unazaliwa tena kiumbe kingine, mfano unazaliwa ng’ombe? Incase ni hivyo, si ingependeza kama kabla ya kuchinjwa upigwe kwanza nusu kaputi, au nakosea?
Atleast hiyo alikuwaa anapata maumivu ya ghafla mara moja then anakufa, nadhani hii itumike kwa wanyama kabla ya kuchinjwa jamani, em just imagine, just imagineUnanikumbusha kabla ya dissection ya Chira na panya nilivyokuwa namchoma msumari wa kichwa. Hivi haiwezekani kutumia kanuni hii kwa mbuzi na ng'ombe?
Daah, hivi yale machinjio ya kisasa vingunguti hawakuleta mashine za Bolt stunning, walau kuwapunguzia mateso jamani, daahUlimwengu wa kwanza wanafanya bolt stunning kabla ya kuwachinja.
Kuna mdau amependekeza ‘Bomt stunning’, nadhani hii inaweza kuleta unafuu wa maumivuHiyo nusu kaputi haitaleta shida kwa walaji?
Kutawala ndio kuchinja?Wanateseka kweli. Lakini si ni Mungu alitupa uwezo wa kuvitawala viumbe vya duniani. Kama unaona huruma mbona unakula nyama
Wafanyiwe ‘Bolt stunning’ basi angalauChangamoto ni "wash out period" yani muda ambao dawa itaishi kwenye mwili wa ng'ombe kabla ya kutoka nje kupitia mkojo au njia zingine.
Inapaswa ng'ombe alie kwenye tiba akae walau siku 14-28( kutegemea na dawa) ndipo achinjwe, ili kiruhusu dawa hiyo itoke nje ya mwili na kuepuka madhara kwa mtumiaji
Ndio maana hatutumii nusu kaputi kabla ya kuchinja wanyama hawa
Kuchinja kulianza toka enzi za kina Abraham walikua wanatoa sadaka ya kuchinja nduguKutawala ndio kuchinja?