kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika matukio kama hayo mbona hatuwasikii wnaasiasa na wanaharakati walioibuka sasa wakitetea Ngorongoro pana nini?
Mimi pia Najiuliza
1) Wamasai waliojeruhiwa ni watanzania au ni wa Kenya?
2)Kwanini wamasai wanaosemekana wamejeruhiwa wakimbilie Kenya kutibiwa na si Tanzania?
3)Kwanini NGO'S za Kenya zimeshikilia sana suala hili?
4)Je, Ngorongoro ni mali ya Wamasai au ya Watanzania?
5)Nani anatakiwa kunufaika na Ngorongoro
6)Kwanini wnaaharakati na wanasiasa wanachanganya issue ya Ngorongoro na Loliondo?
7)Wako wapi ndugu wa Waliojeruhiwa?