Kwanini Ngorongoro?

kalacha mateo

Senior Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
119
Reaction score
240
Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika matukio kama hayo mbona hatuwasikii wnaasiasa na wanaharakati walioibuka sasa wakitetea Ngorongoro pana nini?

Mimi pia Najiuliza
1) Wamasai waliojeruhiwa ni watanzania au ni wa Kenya?
2)Kwanini wamasai wanaosemekana wamejeruhiwa wakimbilie Kenya kutibiwa na si Tanzania?
3)Kwanini NGO'S za Kenya zimeshikilia sana suala hili?
4)Je, Ngorongoro ni mali ya Wamasai au ya Watanzania?
5)Nani anatakiwa kunufaika na Ngorongoro
6)Kwanini wnaaharakati na wanasiasa wanachanganya issue ya Ngorongoro na Loliondo?
7)Wako wapi ndugu wa Waliojeruhiwa?
 
Mwezi wa kwanza wa Rais madarakani alisema (nanukuu)

"Madini yaliyopo kwenye mbuga zetu za wanyama inabidi yaanze kuchimbwa"

Mwisho wa kunukuu na asante kwa kunisikiliza japo nilichonukuu hakihusiani na yanayoendelea.
 
Mwezi wa kwanza wa Rais madarakani alisema (nanukuu)

"Madini yaliyopo kwenye mbuga zetu za wanyama inabidi yaanze kuchimbwa"

Mwisho wa kunukiu na asante kwa kunisikiliza japo nilichonukuu hakihusiani na uanayoendelea.
Sawa tu kokote yatakapoanza kuchimbwa tutakula wote mema ya nchi, wamasai wapo hapo wanachangia nini kwenye uchumi......Wamejengewa na nyumba na shule wahame tu
 
Kusiwe na double standard. Kama watanzania wa Ihefu, Ujiji, Mbalali, Katavi, e.t.c waliondolewa na wakatii basi na hawa wa Loliondo waondoke!
 
Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika matukio kama hayo mbona hatuwasikii wnaasiasa na wanaharakati walioibuka sasa wakitetea Ngorongoro pana nini?

Mimi pia Najiuliza
1) Wamasai waliojeruhiwa ni watanzania au ni wa Kenya?
2)Kwanini wamasai wanaosemekana wamejeruhiwa wakimbilie Kenya kutibiwa na si Tanzania?
3)Kwanini NGO'S za Kenya zimeshikilia sana suala hili?
4)Je, Ngorongoro ni mali ya Wamasai au ya Watanzania?
5)Nani anatakiwa kunufaika na Ngorongoro
6)Kwanini wnaaharakati na wanasiasa wanachanganya issue ya Ngorongoro na Loliondo?
7)Wako wapi ndugu wa Waliojeruhiwa?
Kwani miaka yote toka Uhuru, Ngorongoro imekuwa ikiwqngizia pesa za utalii nani? Tanzania au Wamaasai?
Tumieni akili. Focus kwenye mada, acheni kujenga propaganda ambazo sizo kiini cha tatizo.
 
Hakuna mahali anayetetea, amesema watanzania wengine haiwahusu. Au eneo sio la Tanzania. You must know this issue in deep to be able to explain and argue for or against. Acheni kukurupuka.
 
Sawa tu kokote yatakapoanza kuchimbwa tutakula wote mema ya nchi, wamasai wapo hapo wanachangia nini kwenye uchumi......Wamejengewa na nyumba na shule wahame tu
Sijui kwanini dunia inawafanya wamasai watu special kwa kuwa eti wanajua kupigana na wanyama wakali. Huyo simba hata wazazi wetu zamani waliwatandika tu na fimbo mpaka wananoga
 
Sawa tu kokote yatakapoanza kuchimbwa tutakula wote mema ya nchi, wamasai wapo hapo wanachangia nini kwenye uchumi......Wamejengewa na nyumba na shule wahame tu
Umekula ngapi kuanzia Kahama mpaka Geita? wamasai pale ni kwao hamtakiwi kuwahamisha kwa nguvu ilitakiwa waongee nao na kuwanunua kwa value yao sio kwa vibanda mlivyowajengea na risasi, siku wakija kuwaondoa kijijini kwenu kwa ajiri ya wawekezaji njaa labda akili itakurudia
 
Back
Top Bottom