Nguruwe ni nguruwe na Ngombe ni ngombe; kwa nini unataka wanyama wawili wasiofanana wafanane?Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani...
😂Hii ni wiki yake😂
Mbona mbuzi anatoa maziwa na yananyweka!?Nguruwe ni nguruwe na Ngombe ni ngombe; kwa nini unataka wanyama wawili wasiofanana wafanane?
Ni sawa na kuuliza kwa nini simba hali majani kama nyati?
Hahaaaaa, Hivi korodani ni mayai kwenye mfuko wa ngozi.Vile vile mwingine atauliza kwanini map*mbu ni kama mayai ila hayatotolewi
Mayai yale. Chips inatoka vizuri tu Mkuu😂Hahaaaaa, Hivi korodani ni mayai kwenye mfuko wa ngozi.
Unaagiza chips korodani zizikauke sana,Mayai yale. Chips inatoka vizuri tu Mkuu😂
Paka na mbwa pia wanafungwa na mbona hamkuli au kuwakamua maziwaNajua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani...
Subiri mtu aje aseme maziwa ya Mbuzi Katoliki yanatibu ukimwi. Huo mshikemshike wa kuyapata sasa.Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani...
Sawa mkuu1. Ladha ya maziwa yake ni mbaya, wanasema eti yana maji mengi na mafuta mengi, na eti ni kwavile hali mimea peke yake.
2. Akiwa ananyonyesha anakuwa mkorofi sana
3. Ni mfupi, kwahiyo kumkamua ni kazi
4. Anatoa maziwa kidogo, itakuwa ngumu kuzalisha maziwa kwa wingi, ukizingatia anazaa watoto wengi tofauti na ngombe, mbuzi au kondoo
Chanzo: Reddit
Haya ndiyo majibu1. Ladha ya maziwa yake ni mbaya, wanasema eti yana maji mengi na mafuta mengi, na eti ni kwavile hali mimea peke yake.
2. Akiwa ananyonyesha anakuwa mkorofi sana
3. Ni mfupi, kwahiyo kumkamua ni kazi
4. Anatoa maziwa kidogo, itakuwa ngumu kuzalisha maziwa kwa wingi, ukizingatia anazaa watoto wengi tofauti na ngombe, mbuzi au kondoo
Chanzo: Reddit
Pia nguruwe anabeba 'zoonic diseases'(magonjwa ya binadamu yanayotoka kwa wanyama)nyingi...Sawa mkuu
Mkuu namna gani VP , siku moja niyaonje ili nithibitishe1. Ladha ya maziwa yake ni mbaya, wanasema eti yana maji mengi na mafuta mengi, na eti ni kwavile hali mimea peke yake.