Wote hao wamechemsha mbele ya kitimoto nyie km mnakufa kufeni ila ndo nguruwe kashachukua tuzo kiulaiinii na hatuachi kumla km ni maziwa nayo tutakunywa na manyoya yake yatapata kazi,Kwanza waliotoa tuzo kuna nyama nyingi hawajagusa dadaangu na I bet ngamia nyama ya kwanza,maana nchi nyingi zinachukulia ngamia nyama ya kiislamu/kiarabu πππππππ.
Kuna nyama pori nyingi ni tamu sana kuliko nguruwe,jaribu kuzitafuta.
Kamle digidigi,pofu na mbogo maji halafu rejelea hapa mkuu.
Yeah! Na hapo ndo unaambiwa usile nyingi eti mpaka ushibe au kuikomoa - huo tayari ni ulafi.Bacon huwa ni ngumu sana kuleta shida hiyo tuitoe.
Swine ni nyama ambayo ina maradhi unaweza kupata madhara mengi sana kupitiliza mkuu.
Ila pork ya kawaida kama ikipikwa vizuri vile vimelea vya minyoo ya Taenia Sollium huwa ni ngumu kuleta athari,kitakachobaki kuleta athari ni excess bad fats iliyopo katika nyama basi.
Mkuu; manyoya ya nguruwe ni mali ghafi ya kutengeneza brashi. ref: pig bristles were used for making brushes. They have been replaced by synthetic bristles. (Google.)Wote hao wamechemsha mbele ya kitimoto nyie km mnakufa kufeni ila ndo nguruwe kashachukua tuzo kiulaiinii na hatuachi kumla km ni maziwa nayo tutakunywa na manyoya yake yatapata kazi,
saiv moyo wake unatumika kama mbadala kwa wenye matatizo ya moyoπ π π
Kwahiyo mnyama mzima ni faida tupuMkuu; manyoya ya nguruwe ni mali ghafi ya kutengeneza brashi. ref: pig bristles were used for making brushes. They have been replaced by synthetic bristles. (Google.)
Aaaagh wapi heart transplant bado haijapata maximum efficiency.Wote hao wamechemsha mbele ya kitimoto nyie km mnakufa kufeni ila ndo nguruwe kashachukua tuzo kiulaiinii na hatuachi kumla km ni maziwa nayo tutakunywa na manyoya yake yatapata kazi,
saiv moyo wake unatumika kama mbadala kwa wenye matatizo ya moyoπ π π
Kaonje usinichoshe ladha yenyewe huijui ila umekaza fuvuAaaagh wapi heart transplant bado haijapata maximum efficiency.
We mle ila haii mguu wa pofu ama digidigi.
Dah!.... Noma Sana hiii, ukiichemsha hiyo nyama vizuri si minyoo inakufa ?yes sir!!! also there are very dangerous worms in pork meat."yaani kuna minyoo hatari mno kwenye nyama ya nguruwe ambao makazi yao huwa wanakimbilia kujificha kwenye ubongo wa binadamu ambapo hupelekea ata kifo"
πππππMahaba niueKaonje usinichoshe ladha yenyewe huijui ila umekaza fuvu
Anazungumzia Taenia Solium au Kuna minyoo Mingine??
Kitimoto rost kilomoja na ugali wake pamoja na kachumbali,au kiti moto choma na ndizi nne pamoja na pilipili ,HIKI CHAKULA HATA MALAIKA WANGEKUWA WANAKULA WASINGEACHA SIO BINADAMU PEKEE.Hoja yako ni nini?
Unavyosikia ng'ombe wa maziwa ni wajibu maziwa yao yote wanywe ndama?
Kiasili nguruwe hakuumbwa kuwa chakula cha binadamu.
Nilishaeleza huko juu, ngβombe huwa wanatoa maziwa excess!Hoja yako ni nini?
Unavyosikia ng'ombe wa maziwa ni wajibu maziwa yao yote wanywe ndama?
Kiasili nguruwe hakuumbwa kuwa chakula cha binadamu.
Agiza mwanangu nakuja kulipa.Kitimoto rost kilomoja na ugali wake pamoja na kachumbali,au kiti moto choma na ndizi nne pamoja na pilipili ,HIKI CHAKULA HATA MALAIKA WANGEKUWA WANAKULA WASINGEACHA SIO BINADAMU PEKEE.
Pain in the ass. Kama inakuuma chomoa.Mama yangu anahusikaje hapa? Umepanic dogo!
Btw umejidhihirishia mwenyewe kwamba wewe ni kilaza, na unao mtindio wa ubongo!!
ungemaliza na binadamu kabsa maana nae hakamuliwiππSwali langu ni je? kwanini nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe? je maziwa ya nguruwe yana athari zozote kwa binadamu? kama ni ndiyo kwanini nyama yake inaliwa?