Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye minada ya kawaida nguruwe nae anauzwa kama ilivyozoeleka kuona ng'ombe na punda wakiuzwa kwanini kwakwe ni tofauti?
Nguruwe ni Dhahabu au Almasi mchangani, bei ya Nguruwe mmoja mkubwa mwenye kilo za kutosha ni sawa na ng'ombe wawili lakini pia wana maeneo yao maalumu na minada yao maalumu wanapouzwa, kingine vurugu za nguruwe si unazijua utaweza kuchunga nguruwe au ushawahi ona nguruwe anachungwa km mbuzi? Nguruwe mtata mchunge akupige jino
 
Nguruwe ni kiteweo cha wachawi hivyo minada yao ni ya kichawi
 
Nimeona mara kadhaa wakichungwa mkuu. Halafu swala la utata mbona linadhibitiwa tu Kwa kujengewa maeneo rafiki?
 
Vitu adimu na vyenye thamani havionekani kila mahali ,🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…