Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

Jf saalam.

Wakuu tukitazama tu Kwa jicho la kawaida hata bila kuingiza dini/Imani zetu hapa napata ukakasi sana.

Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye minada ya kawaida nguruwe nae anauzwa kama ilivyozoeleka kuona ng'ombe na punda wakiuzwa kwanini kwakwe ni tofauti?

Tangu nianze kutembelea minada mikubwa nakiri wazi sijawahi ona nguruwe minadani.

Ndio swali ninalo jiuliza ni kwamba hairuhusiwi nguruwe kuuzwa minadani?View attachment 3140160
Nguruwe hauzwi minadani kwa sababu ya sheria za kidini na tamaduni nyingi. Katika dini kama Uislamu na Uyahudi, nguruwe anachukuliwa kuwa mnyama asiye safi, na hivyo kula au kuuza nyama yake ni haramu. Pia, kuna mitazamo katika baadhi ya tamaduni inayohusisha nguruwe na uchafu, ingawa kimaumbile ni wanyama wenye akili na wanaweza kuwa safi. Hivyo, kutokana na imani hizo na maadili ya jamii, nguruwe hawezi kuuzwa katika maeneo kama minada.
 
Jf saalam.

Wakuu tukitazama tu Kwa jicho la kawaida hata bila kuingiza dini/Imani zetu hapa napata ukakasi sana.

Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye minada ya kawaida nguruwe nae anauzwa kama ilivyozoeleka kuona ng'ombe na punda wakiuzwa kwanini kwakwe ni tofauti?

Tangu nianze kutembelea minada mikubwa nakiri wazi sijawahi ona nguruwe minadani.

Ndio swali ninalo jiuliza ni kwamba hairuhusiwi nguruwe kuuzwa minadani?View attachment 3140160

1. Nguruwe ni wachafu (ni najisi)
2. Wanakula kila kitu hata mtoto akijichanganya anaweza kuliwa
3. Kinyesi chao kina harufu kali (kama cha binadam)
4. Kwa kuwa ni Herbivores kinyesi chao kinaweza kuambukiza magonjwa kwa urahisi
5. hawatulii sehemu moja kama wanyama wengine
6. Nk nk nk
 
Kule wanafugwa kama kuku, wanafunguliwa asubuhi jioni wanarudi wenyewe zizini. Ukimpenda nguruwe wa mtu mnauziana popote pale
😂😂😂😂ko unamvutia tu mwana simu Oya nimependa haka kanguruwe kenye mabaka meusi, vp bei gani? 'Hako nipe laki na nusu mkuu'
"Nikutumie kwa namba hii sio?

Ukishatuma unakavuta bandani kwako
 
Back
Top Bottom