Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Siku zote kazi nzuri inajitangaza, Hayati JPM hayupo lakini kila siku anatangazwa, anatangazwa kwa sababu ya kazi zake ambazo ni alama. Huwezi mdanganya hata Mtanzania wa chini kabisa kumuhusu JPM.
Kwanini kwa Rais Samia inatumika nguvu kubwa sana kumtangaza ili aaminiwe?
Kwanini kwa Rais Samia inatumika nguvu kubwa sana kumtangaza ili aaminiwe?