Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

Mwamba ngoma huvutia kwake najua umekuja kuwatetea dada zako mana wameshambuliwa mno, sasa mtu pesa ninayo nimeamua kuoa nipate amani yamoyo nawanangu tena mke anipande kichwan badala yakunikatia kiuno
Eti bana.
 
Kutajirisha koo zao. Ila wanasema haya mambo yalikuwaga zamani,siku hizi hayapo. Yanakuzwa sana haya mambo
Mpaka leo bado yapo, nenda Mbezi Beach, Ununio, Bahari Beach utakuta wajane wengi wa Kichagga na kipare huko wakila bata na vibenti vyao baada ya kuua waume zao.
 
Basi itabidi niende huko nikatafute mwanamke wa kuoa Kama sifa zao ndo hizo
 
Hii point namba 8 nimeielewa sana mkuu,big up
 
Wapambanaji mbona hamna billionaire wa kike tangu waanze kupambana hizi geresha za mchongo..😁😁Ukienda kanda ya kaskazini kukuta mwanamke ana nyumba ni kitu cha kawaida hata kuamka 11 alfajiri na kufanya kazi ila wapo kimya.
 
Wapambanaji mbona hamna billionaire wa kike tangu waanze kupambana hizi geresha za mchongo..😁😁Ukienda kanda ya kaskazini kukuta mwanamke ana nyumba ni kitu cha kawaida hata kuamka 11 alfajiri na kufanya kazi ila wapo kimya.

Wewe miso misondo Acha kelele
 
Aiseeeee hii thread ilikuwa wapi siku zote nimeiona leo?
Wanawake wa Kaskazini hatuna mpinzani. Kila point uliyoiongelea ni ukweli 💯.
 
Wewe oa mpare mwenzio mtajuana wenyewe maana tabia zenu zinafanana.

Mwanaume akichepukia kule mwanamke anachepukia huku. Ngoma droo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…