Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

Kua umeoa mkuu maana umekinzana na ulichokiandika pale juu, evidence must be supportive & available in order to remove any kind of misunderstanding

Duuh! Hapa sio Mahakamani Mkuu.

Nilichoandika ni swali ambalo nimelijibu, kifasihi na kifalsafa. Fasihi haihitaji uthibitisho, sio sayansi Bali Sanaa. Sayansi ndio inahitaji uthibitisho. Kwa habari za falsafa tuache
 
Yes ni kweli Ila si umesikia idadi ya vijana wanaotaka wachangiwe mahari ili waoe imefika 1000, habari hio si unayo mkuu ?

Vijana hawakutaka kuchangia Ila Mtoa misaada ndiye aliyetaka kutoa sadaka ya msaada wa Mahari Kwa wanaohitaji kuoa.
Hvyo walituma maombi Kutokana na tangazo.

Mahari za kiislam sio tatizo kwao, maana sio biashara. Tofauti na Wakristo au kimila
 
Habari za Leo.

Kwangu ni lazima kuoa Mwanamke wa Kaskazini au jamii zinazokaribiana Mila, desturi, falsafa na mitizamo kama ya Wanawake WA Kaskazini. Kuoa Mwanamke wa Kaskazini kwangu Sio Optional, bali ni lazima. Hii itabaki kuwa hivyo ilivyo.

Sio kila mtu atakayetaka kujua sababu ya Mimi kuwa na uamuzi huo, kwani ni uamuzi binafsi unaohusu Maisha yangu mwenyewe lakini ninauhakika wapo watakaotaka kujua sababu ya Mimi kuwa na Uamuzi huo.

Wanawake WA Kaskazini ni Wanawake wote wenye tabia halisi za Mwanamke wa shoka bila kujali amezaliwa Iringa, Kigoma, mtwara, Morogoro, Mwanza, Moshi, Musoma .n.k.

Zifuatazo ni sababu za Kwa nini Taikon lazima Aoe Mwanamke wa Kaskazini;

1. Wanapenda Mali.
Kwa jamii zingine huona Jambo Hilo katika mtazamo Hasi lakini Kwa wanaume Strong tunachukulia Jambo hilo kama Motivation.
Mwanamke lazima apende Mali, ili kuzalisha Vijana wachapakazi na sio vijana wavivu na wazembe wazembe.

Ili mwanaume uheshimike Mali ni moja ya vigezo vya kumfanya mwanaume aonekane yupo serious na Maisha. Fanya kazi Kwa bidii na juhudi yenye Akili.
Ukiona eneo hilo limekushinda Hama tafuta sehemu nyingine, sio unakaa sehemu moja kama Mwanamke.
Wanawake WA Kaskazini kumwambia unaenda kutafuta Maisha nchi za mbali yeye haoni shida, au kumwambia muondoke wote muhame mwende Mikoa ya mbali kwao sio tatizo ili mradi umwambie kuna mchongo wa kutafuta Maisha.

Hii ni tofauti na Baadhi ya Wanawake WA jamii zingine, ukiwambia mhame mwende mbali watawaza sijui wazazi sijui ndugu kwamba watakuwa mbali na nyumbani.

Kupenda Mali kunazalisha Vijana wawe wachapakazi na Risk taker,

2. Wanakiu ya Maendeleo Kwa Watoto wao.
Wanawake WA Kaskazini hata umtelekezee mtoto hapo ninakuhakikishia lazima atasoma kivyovyote vile bila kutegemea Pesa yako.
Wanawake WA Kaskazini wengi wao ndio wazalishaji hasa WA hizi kazi ndogondogo Kam umachinga WA nguo, kuuza mitumba, kulima vibarua kwenye mashamba, n.k.
Vijana wengi wa Kaskazini wamesomeshwa na Mama zao.
Wababa wanasimamia shoo kubwakubwa kama ujenzi wa nyumba, ununuzi wa viwanja na utanuzi wa Ngome na miradi.

Sasa ni Mwanaume gani Strong ambaye hatataka kuoa Mwanamke wa Kaskazini ikiwa anauhakika hata asipokuwepo Watoto wake wataishi vizuri, sidhani kama kuna mwanaume wa hivyo.

3. Hawapendi wanaume Cheaters.
Ukitaka uonje joto la Jiwe basi OA Mwanamke wa Kaskazini alafu mfanyie mambo ya kiduwanzi, mcheat mara Kwa mara uone nini kitatokea.
Utawahadithia wenzako na utakuwa fundisho Kwa wengine. Kwanza lazima utoke ndani ya nyumba kivyovyote iwe Kwa Amani au Kwa Shari.
Wale wanaume Werevu wakishaona wametosheka na kukinaiwa na Wake zao huwaachia Nyumba(Mji) na kuendelea na Maisha mengine. Lakini hawapeani Talaka. Hiyo mbinu inatumiwa na wanaume wajanja.

Lakini wale wanaume wajinga hugangamala hapohapo na ndipo ubaya wa Wanawake WA Kaskazini utakapoonekana. Hakuna rangi ambayo hautaacha kuiona.

4. Huwezi kuwatapeli Mali Kama mlichuma Wote.
Kwanza hakuna kazi ngumu kama kumtoa Mwanamke wa Kaskazini ndani ya nyumba hasa kama mmejenga wote. Ni ngumu Sana. Kesi hiyo itasimamiwa vilivyo na atapata uungwaji mkono na Ndugu zake Kwa namna yoyote Ile.
Hii inamaanisha unapooa Mwanamke wa Kaskazini lazima ujue mlango wa kutokea endapo ikitokea mkiachana. Kwani wengi wao wana-backup ya Kufa mtu Kutokana na umoja waliokuwa nao.
Hivyo kama Mwanaume kwenu ukoo wenu hauna umoja kila MTU kivyake inaweza kukugharimu.

Hii inahamasisha Vijana kuunganisha nguvu na Ndugu zao. Sio kijana ukishaoa tuu unakata mawasiliano na Ndugu zako unashindwa hata kuwainua, ninakuhakikishia inaweza ikakusumbua Huko Mbele.

5. Ni Wakali na hawadekezi Watoto.
Labda ninashindwa kueleza Jambo hili vizuri. Lakini Wamama wa Kaskazini ni Wakali Kwa Watoto kuliko Wababa. Wanaume ni Wakali linapokuja suala la utafutaji na mipaka ya Ardhi lakini kwenye malezi wamama wameshindikana.

6. Ni washamba Kwa Mambo ya Kijingajinga yasiyoingiza Pesa.
Wanawake WA Kaskazini ni washamba Kwa mambo yasiyo na tija, mfano sijui udaku wa masupastaa, sijui kukata mauno au kucheza, sijui kuunganisha madanga, Kwa kweli Kwa hayo mambo NI washamba, wengi hawajui na hawafuatilii hivyo vitu.

Wao wanachojua ni Mambo ya Pesa, sijui Vikoba, Michezo, Brac, kuuza Kwa kukopeshana, ujenzi, usomeshaji wa watoto, biashara n.k. hayo ndio mambo Yao.

7. Wengi Hawana Umalaya.
Umalaya ni tabia mara nyingi inayochangiwa na Mwanamke kuwa tegemezi, utegemezi unaleta tamaa alafu Pesa hauna.
Utachunguza mwenyewe Wanawake wenye Tabia za kimalaya wengi wanatoka jamii tegemezi ambazo wao kila Pesa wanamtegemea mwanaume.
Pesa ya Kodi mwanaume,
Pesa ya chakula mwanaume,
Pesa ya kusomeshea mtoto mwanaume,
Pesa ya mavazi mwanaume
Pesa ya kila kitu mwanaume alafu kazi huna Mwanamke ataachaje kuwa Malaya.
Wanawake wengi WA Kaskazini na jamii zinazofanana NAO ni wachakarikaji, wanajua Pesa inavyotafutwa Kwa kazi ndogondogo na biashara za Kati.
Mwanaume akitafutwa ni kwaajili ya kufanya Maisha.
Weka niweke.

8. Hawana unyenyekevu Kwa Wanaume wapumbavu.
Wanawake WA Kaskazini wamefundishwa kujitambua, Haki zao. Mheshimu atakuheshimu, mpende atakupenda, mshirkishe atakushirikisha. Hawana mambo ya unafiki.
Wanawake WA Kaskazini kwenye hii nchi ndio wanaoongoza Kwa kuhonga Vijana waaminifu. Yaani ukitaka kwenda naye Sawa basi Mpe Haki zake naye akupe Haki zako.

Tabia hiyo inachukuliwa na wanaume dhaifu kama ujeuri, kiburi na kutokuwa na heshima. Jambo ambalo sio Sahihi.
Mwanamke wa Kaskazini na jamii zinazofanana nayo hawezi kukuheshimu kama Mume wake ikiwa kuna mambo unapuyanga, yaani ufanye uhuni na umalaya wa kujirudiarudia alafu utegemee heshima. Hizo ni dharau kubwa.

Sisi kama Kaka zao na Baba zao tumewafundisha wasivumilie hiyo Hali endapo ikijitokeza Kwa kujirudiarudia mara Kwa mara. Ndio maana tunawafanya wajitegemee kiuchumi zaidi ili wasinyanyasike na kunyanyaswa na wanaume wendawazimu.

Hakuna mwenye Haki ya kufanya uhalifu au uovu Kwa Mwenzake iwe Mwanamke au Mwanaume. Mimi kuwa mume wa Fulani sio kigezo cha kumpiga au kumrudia Usiku WA manane nikiwa nimelewa, hiyo hauvumiliki, na ninachowapendea Wanawake WA Kaskazini hawatakukopesha watakujibu Kwa nguvu zote.
Aidha muachane au ubadilike. Na mkiachana mtasomana kwenye mgawanyo wa Mali na kuhudumia Watoto.

Kama ni MTU mwenye Tabia za umungu mtu sikushauri ukaoe Kaskazini, kama ni Mwanaume usiyependa HAKI basi Kaskazini sio sehemu sahihi kwako.
Mnaweeza Anza vizuri hasa kama unamali au unavikazi kazi vyenye kipato lakini ninakuhakikishia Baada ya miaka 20 picha litaanza kugeuka, hapo Watoto wamekua ni muda wa kujibu mapigo.

Wanawake WA Kaskazini wengi huonekana ni Feminist Kutokana na Ile Hali wanayokabiliana na uonevu na unyanyasaji wa baadhi ya wanaume wajingawajinga.

Unapomuoa Mkeo elewa kuwa huyo ni Msaidizi wako, mnasaidizana majukumu ya kimaisha na sio mmoja kumfanya mtumwa mwingine. Mwanaume asiwe mtumwa wa Mwanamke, pia Mwanamke asiwe mtumwa wa Mwanaume. Wote muwe kitu kimoja. Mnapokabiliana na mambo yenu yawekeni bayana mjue mnayatatuaje,

Ugumu unatoka wapi?
Wengi hujikuta katika ubinafsi ndio maana migogoro haiishi.
Mfano Mwanamke anazalisha laki tano kwa mwezi, mwanaume naye laki tano.
Hiyo Pesa Kwa nini msiiweke pamoja kisha muipangie matumizi pamoja?
Au mmoja anapokea laki tatu mwingine laki Saba. Mnaona shida gani kuunganisha hizo Pesa.
Kama ni kusaidia nyumbani si msaidie, mnaona shida gani?
Semeni Kila mwezi elfu 50 itaenda familia ya MKE, elfu 50 itaenda familia ya Mme. Jumla ni laki moja itatengwa Kwa Pesa ya Wazazi.

Sasa mkishaanza kuleta mambo ya mzazi wangu, mzazi wangu sijui kanisomesha sijui kanizaa, kwani Nani hakuzaliwa? Kwani Nani hakusomeshwa, sijui Mimi nimekuoa nimekutolea Mahari hiyo Mahari ndio nimemalizana na kwenu, hivi wewe ni Kichwa? Mahari ya milioni mbili au hata milioni 10 ndio umemalizana uliambiwa hiyo ni Ng'ombe?

Alafu kuna mizazi mingine kama imelogwa, ati kisa limesomesha basi linataka mtoto wake amhudumie yeye kuliko familia yake, umelogwa wewe mzazi, kama unataka kumpangia matumizi mwanao au Binti yako ungemuoa au kuolewa naye, pumbavu.

Watu wamejaa ubinafsi Sana!

Ngoja nipumzike!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mkuu hapa unaongelea toleo lipi?
Maana hii generation ya mwisho haina sifa tajwa hapo juu.
 
Eka mbe
 
Nilichoelewa na ambacho nakubaliana na mtoamada ni kwamba unavotafuta mwenzawako wa kudumu maishani hakikisha LAZIMA unakuwa na VIGEZO vyako.

Sio kwa sababu umri umefika basi wewe unazoa tu yoyote anayejitokeza hapo mbeleni. Na hapa ndo wengi tunapofeli. Kumbuka huyu ndo msaidizi wako mkuu kwaiyo lazma awe ni mtu unafahamu atasaidia kusukuma ndoto zako kwenda mbele.
 
Weuweeee kula chuma hicho[emoji1]we oa tu kwan hakuna mtu anakufanyia maamuzi
 
True, wanawake wengi wa kaskazini si malaya ila wanaliwa sana haswa wake za watu kutokana na wanaume wao kuwa bize kuiba, kuroga, na kutafuta hela kwa njia yeyote ile huku wakiwasusa wake zao majumbani. Siwezi oa mwanamke wa Kaskazini hata iweje, I never trust them. Kama hawakutilii dawa kwenye chakula uwe zwazwa basi watakuua tu ili warithi mali zako na kutajirisha kaka zao na ukoo.
 
Sisi tunayakimbia matatizo watu wengine wanayakimbilia...all in all endelea na process utakipata unachokitafuta
 
Mwamba ngoma huvutia kwake najua umekuja kuwatetea dada zako mana wameshambuliwa mno, sasa mtu pesa ninayo nimeamua kuoa nipate amani yamoyo nawanangu tena mke anipande kichwan badala yakunikatia kiuno
 
True, wanawake wengi wa kaskazini si malaya ila wanaliwa sana haswa wake za watu kutokana na wanaume wao kuwa bize kuiba, kuroga, na kutafuta hela kwa njia yeyote ile huku wakiwasusa wake zao majumbani. Siwezi oa mwanamke wa Kaskazini hata iweje, I never trust them. Kama hawakutilii dawa kwenye chakula uwe zwazwa basi watakuua tu ili warithi mali zako na kutajirisha kaka zao na ukoo.
Kutajirisha koo zao. Ila wanasema haya mambo yalikuwaga zamani,siku hizi hayapo. Yanakuzwa sana haya mambo
 
Yote kwa yote!
Wanaume WEAK hawapendi
Kuoa ladies ambao wana challenge, wanahoji, wanaleta arguments na mawazo mbadala!

Sema kila mtu ashinde mechi zake!
Kwa tafsiri yako challenge maana yake ni kukosa adabu, kuhoji maana yake ni kukosa lugha nzuri ya kuwasiliana na mwanaume, hapo kwenye argument upo sahihi kabisa kwasababu mwanamke mwenye kujitambua huwa hafanyi arguments na mwanaume wake wanafanya discussions.
 
Aisee sasa nimeelewa. Pole sana. Ndiyo maana tunasema siyo wote wako hivyo unaweza ukampata wa huko kaskazini na ukaenjoy maisha. Huyo alikuwa ana element za umalaya.

Na kwa wanawake nafkiri akiwa hakutaki Cha kwanza anachofikiria ni kukupiga virugu ili umuache.
Sasa mbona anakuwa ananitafuta tena mara kwa mara na kunisihi nisikae kimya nisimpotezee.
 
Back
Top Bottom