Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

Umelipwa ngapi kwa ajili ya hii promo ?
 
Afadhali jamani watoto wetu wa kike wapate wachumba/waume wanaowazimia kama mleta uzi.Binti yangu anaambiwaga wewe "mpalestina" huwa kinaniuma sana na Mungu anawaona aisee.

Ni wanaume waoga tuu wanaoogopa wanawake wakaskazini.
 
Sababu kubwa we ni kamtu kafupi, hivo lazima uone vifupivyenzako
 
Ule uzi ulichangiwa na watu wa mikoa tofauti waliooa huko , tupo wengi , ila jamaa sjui amefkria kwa vile anavyouona ulimwengu kwa nje basi ameamua kuja na gazeti , ila walioonja joto ya jiwe wanajua , ukioa mwanamke wa kaskazini kama ni wa kishua utaenjoy ila kama kwao njaa kali na una vijisent aiseee atakufanyia hiyana mbaya sana
 
..umesema meeengi ila hakuna mwanamke utapata ana sifa zote hizo hata kama vizazi 100 kabla yake walikuwa chaga tupu bila mixer.
 
Kama kiu yako ya kutafuta pesa ni mpaka uoe mwanamke wa kaskazini, basi nakupa pole!

Kama hauna mpango wa kulea wanao, na unataka mserereko eti mwanamke wa kaskazini ukimuachia mtoto atamlea peke yake bila shida, basi nakupa pole!

Anyway, mimi nadhani uchaguaji wa mwanamke wa kuoa unatofautiana kati ya mwanaume na mwanaume. Kuna watu wanawaza kuoa ili wake zao wawasaidie kwenye utafutaji. Kuna watu wamejipa jukumu la utafutaji, ila wanahitaji kuoa kwaajili ya kupata utulivu wa kifamilia.

Then kuna watu kwao pesa sio tatizo, ila hawana muda wa kutulia nyumbani kutokana na majukumu. Wao wanaoa ili wake zao wawasaidie kukaa nyumbani na kuilea familia.


Kwako wewe "mwanamke wa kaskazini" ndie anaekufaa, ila kwa wengine huyo sio hitaji lao. One man's medicine, is another man's poison!

Kila mtu ashinde tu mechi zake!
 
Mwanamke akishakuwa na Mdomo na ubabe ,
Hafai

Mali kitu gani Sasa mtu unabidi kuishi quality life Mwanamke awe mpole na Mwanaume awe mpole muishi kwa utulivu

kuna sisi wengine ukijafanya unayajua Maisha utaishia kula vibao na utatimulia Mapema Sana that way mademu wa kaskazini ndo wanaongoza kuwa single mothers.
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…