Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

Sijataga kabila nimetaja Wanawake WA Kaskazini Mkuu
Basi hizo sifa ulizotaja kwa hao wanawake wa kaskazini niliowataja hazipo, hauoni kama uzi wako unakosa uhalali Mkuu?

Kwanini usiseme tu wazi utaoa mchaga, kwani kuna tatiizo gani ukaweka hivyo au unaogopa kuitwa mkabila while umeshaleta ukanda.
 
Ni vijana lege lege wanaojificha kwenye kichaka cha maendeleo ya pamoja.

Sasa Angalia Kati ya Watu waliooa Wanawake wakaskazini na hao wengine wapi ni legelege (dhaifu) kiuchumi.

Yaani umuweke mtoto wawatu ndani asifanye kazi ili umnyanyase, labda uoe haohao Wanawake waliozoea Utumwa na unyanyasaji
 
Mwanaume hawezi kuwa na Maendeleo pasipo Mwanamke Dunia ingalipo.
Jamii zote zilizoendelea Angalia Wanawake wake ni Watu wa Aina gani.

Wanawake ndio booster kuanzia Kwa Watoto mpaka Waume zao.

Kama Hilo bado hujalijua basi unasafari ndefu

Unafikiri Biblia inaposema MKE Mwema anatoka Kwa Bwana unafikiri unazungumzia Jambo Gani?

Tafuta wanaume wote wenye Mafanikio alafu waulize Wanawake ni Watu wa Aina gani, alafu utanipa majibu hapa.

Ukiona mwanaume ameshindwa Jambo lolote basi jua hapo tatizo ni Mama yake au Mkewe. Full stop.

Ingawaje wapo Exceptional ambao ni wachache Sana.
Ila wengi wetu wanaume tunaoonekana tunauwezo Fulani WA juu basi jua Nyuma wapo Wanawake.
Taratibu kwanza mkuu mke na mama ni tofauti, umehamia kwa mama zetu tena.

Siamini hiki ulichoandika kuhusu mafanikio ya mume basi kwa kiasi mwanamke hasa mke kashiriki....
Huu ni mjadala mwingine kabisa ambao uthibitisho wake utakua na utata kwasababu sidhani kama kuna mume atamnenea mabaya mkewe.

Mtu kapiga skuli, akaajiriwa, akawa analiwa pesa nono then akaoa. Utasema huyu mtu kapata mafanikio kisa mkewe, mkewe alikuwepo alipokua anakesha kupiga msuli??

Hawa wasanii wanaotoa hits kila leo, wanawake wanaplay part gani kwenye maisha yao mpaka kufanikiwa kwao.

Hiyo ni dhana ya wanaume wanaotafuta mwenza ili amboost kama wewe unavyotaka kufanya.
 
Mwanamke anakuwa na maviburi na ujuaji hadi ukimtazama hupati hata hamu ya kumt*mba unamuona kama mwanaume mwenzako kiasi kwamba kufanya nae unajiona kama unafanya na shoga vile. [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]

Seriously mimi sipendi mwanamke anayetaka kunionyesha kuwa yeye anajua zaidi tena kwa kulazimisha.

Mwanamke anaweza kuwa smart kichwani and akawa na namna nzuri ya kuonyesha uwezo wake kwa mwanaume wake bila kutumia EGO na elements za ukorofi kama hawa wanawake wa huko.
Wazi kabisa mkuu. Mwanamke character ya ujuaji huwa haimpendezagi hata kidogo
 
Mbona mnatuchanganya mara tusioe mara tuoe wanawake wa kaskazini mara tusioe wanawake wenye tamaa za mali [emoji276]kipi ni kipi 🥸
 
Eti uongo mzee baba?! Unakaa na mtu anaamka asubuhi anataka uamke ukatafute yaani kaklemisha mwanaume ni mtu wa kutoka asubuhi na kurudi jioni hataki kuona saa moja upo kitandani sasa ukimuuliza wewe hauli, hauvai vizuri, site ujenzi wa nyumba yetu hauendelei, mtoto au watoto hawaendi shule?

Sasa hizi wenge unatoa wapi kwa mfano. Unaweza jikuta umemzabua kofi.
Mfano mimi leo nimeamua nachill zangu skani sijatoka kabisa ila amani tu. Niko naflex na dogo kesho ndio naamsha popo. Sasa ukiwa na chick mgaigai anaeza leta ngendembwe yeye kaingia job kiroho safi.
 
Taratibu kwanza mkuu mke na mama ni tofauti, umehamia kwa mama zetu tena.

Siamini hiki ulichoandika kuhusu mafanikio ya mume basi kwa kiasi mwanamke hasa mke kashiriki....
Huu ni mjadala mwingine kabisa ambao uthibitisho wake utakua na utata kwasababu sidhani kama kuna mume atamnenea mabaya mkewe.

Mtu kapiga skuli, akaajiriwa, akawa analiwa pesa nono then akaoa. Utasema huyu mtu kapata mafanikio kisa mkewe, mkewe alikuwepo alipokua anakesha kupiga msuli??

Hawa wasanii wanaotoa hits kila leo, wanawake wanaplay part gani kwenye maisha yao mpaka kufanikiwa kwao.

Hiyo ni dhana ya wanaume wanaotafuta mwenza ili amboost kama wewe unavyotaka kufanya.

MKE na Mama ni tofauti 😂😂
Mama nu MKE wa Baba yako, MKE ni mama WA watoto wako.
Kazi zao ni zilezile,

Hivi unapoambiwa Utafute wife material nini kinakuja kwenye Akili yako?
Au ukiambiwa MKE ni Msaidizi WA Mume Kwa Akili ndogo za Watu Wanafikiri ni zile kazi za kuosha vyombo na kupika😀😀

Kweli nchi Hii safari ni ndefu.

MKE ni booster, Msaidizi na kama MKEO Hana Sifa hizo basi umeshakwama.

Hapo ndio inapokuja tofauti yetu Watibeli na watu wengine.

Mafanikio ya mtu hayaishii kwenye Kupata Ajira. Ndio maana mnakwama, yaani ulipwe milioni mbili useme amefanikiwa?😂😂😂

Hivi MTU anayelipwa milioni mbili au tatu alafu anawatoto ikitokea amekufa Watoto wake wataishije Kam Mkewe sio booster?
 
Sasa Angalia Kati ya Watu waliooa Wanawake wakaskazini na hao wengine wapi ni legelege (dhaifu) kiuchumi.

Yaani umuweke mtoto wawatu ndani asifanye kazi ili umnyanyase, labda uoe haohao Wanawake waliozoea Utumwa na unyanyasaji
Hii sio kweli. Hakuna mwanaume ambaye ni timamu atake mkewe awe mtu wa kukaa ndani kama mfugo bila kuwa hata na mishe za kuuza mikoba labda huyo mwanaume awe na matatizo ya akili.

Na swala la mfumo wa kuishi kati ya mume na mkewe ni jambo personal ambalo wao wawili wanaweza kukubaliana na maisha yakaenda kulingana na malengo yao. So maswala ya mke na mume wataishi kwa mfumo gani sio issue ya kitaifa bali ni jambo la wawili.
 
Haina maana nje unavimba na vanguard halafu ukirudi home hauwezi hata kubadili channel kwenye DSTV 😂😂

Ndoa zinakosa furaha sababu wanandoa wanaishi maisha serious sana kwenye ndoa, fikiria yani mtu kazini utumie akili kujadili mijadala mizito na home napo unataka kwenda kutumia big brain of yours kutatua mambo aisee lazima utafeli tu.

Akili ya kazini usiitumie nyumbani, yani mjadala wa siasa unavyoujadili kazini na wafanyakazi wenzako unataka uujadili hivyo hivyo nyumbani na mkeo aiseee hiyo ndoa itakuboa dakika sifuri, akili inahitaji kutulia.

Mali kwenye ndoa zinakuja kwa wewe mwanaume kujituma kuzitafuta mke na watoto watazitumia tu wakiona inafaa watakushirikisha kuzitumia na wewe.
 
Umejibu vizuri Sana Mkuu.
Kama hakuna ambaye hataki Mkewe akae nyumbani. Elewa kuna wanaume wengi wanawaona Wanawake mitaji ya Pesa ya biashara lakini baada ya muda biashara zimekufa Kwa sababu za kijinga, sijui kununua vijors, urembo na mambo ya kipuuzi.
Chukua mtaji mpe Mwanamke wa Kaskazini alafu uje hapa utoe ripoti.

Kuna Watu wameoa Wanawake wanawapa Ada wake zao wakalipie Watoto school fees, wake zao hawafikishi hizo Ada.
Lakini Mpe Mwanamke wa Kaskazini Nusu ya Ada alafu mwambie nyingine atajazia uone nini kitatokea.

Hizo ni sehemu ya tofauti ya Wanawake WA Kaskazini na Wanawake wengine.
 
MKE na Mama ni tofauti 😂😂
Mama nu MKE wa Baba yako, MKE ni mama WA watoto wako.
Kazi zao ni zilezile,

Hivi unapoambiwa Utafute wife material nini kinakuja kwenye Akili yako?
Au ukiambiwa MKE ni Msaidizi WA Mume Kwa Akili ndogo za Watu Wanafikiri ni zile kazi za kuosha vyombo na kupika😀😀

Kweli nchi Hii safari ni ndefu.

MKE ni booster, Msaidizi na kama MKEO Hana Sifa hizo basi umeshakwama.

Hapo ndio inapokuja tofauti yetu Watibeli na watu wengine.

Mafanikio ya mtu hayaishii kwenye Kupata Ajira. Ndio maana mnakwama, yaani ulipwe milioni mbili useme amefanikiwa?😂😂😂

Hivi MTU anayelipwa milioni mbili au tatu alafu anawatoto ikitokea amekufa Watoto wake wataishije Kam Mkewe sio booster?
Usichanganye mke na mama hao ni watu wawili tofauti wenye majukumu tofauti.

Mke anakuzalia watoto
Mama anakulea wewe

Sasa hao ni watu wawili tofauti sana sio majukumu tu bali hadi uhusiano wenu.

Mke unaweza kubadili wakati wowote
Mama hauwezi kubadili kamwe

Sasa uhusiano wako na mama ni mkubwa kuliko uhusiano wako na mke. Ndio maana mama wote ni bora kwa wanao (wanawapambania) ila sio wake wote ni bora kwa waume zao (including wakaskazini 😂)

Mama zetu ni wake za baba zetu wake zetu ni wakwe wa baba zetu.
 
Haina maana nje unavimba na vanguard halafu ukirudi home hauwezi hata kubadili channel kwenye DSTV 😂😂

Ndoa zinakosa furaha sababu wanandoa wanaishi maisha serious sana kwenye ndoa, fikiria yani mtu kazini utumie akili kujadili mijadala mizito na home napo unataka kwenda kutumia big brain of yours kutatua mambo aisee lazima utafeli tu.

Akili ya kazini usiitumie nyumbani, yani mjadala wa siasa unavyoujadili kazini na wafanyakazi wenzako unataka uujadili hivyo hivyo nyumbani na mkeo aiseee hiyo ndoa itakuboa dakika sifuri, akili inahitaji kutulia.

Mali kwenye ndoa zinakuja kwa wewe mwanaume kujituma kuzitafuta mke na watoto watazitumia tu wakiona inafaa watakushirikisha kuzitumia na wewe.

Nani alikuambia ukirudi nyumbani hautabadili channel kisa Mwanamke?😂😂
Kweli Dada zetu mnawaogopa 😀😀 Yaani mwanaume mzima unapangiwa ratiba mpaka za DStv.

Lakini kama haulipii vifurushi na unazembea zembea lazima utiwe shinikizo ili Akili za kiume zikujie.
Kuna vijana bila shinikizo hamuendi, hasa vijana wasio jitambua
 
@Robert Heriel Mtibeli amezingua kwenye huu uzi ila anajaribu kujitetea tu.

Labda angesema anapenda rangi ya mtume kutoka kwa wadad wa kaskazin ila hapo kweny strong women ni uongo qabisa
 
Back
Top Bottom