Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Unajua maisha ni mifumo. Na mifumo huwa ina watu maalumu ambao hutegemea kushika nafasi zao kikamilifu.MKE na Mama ni tofauti [emoji23][emoji23]
Mama nu MKE wa Baba yako, MKE ni mama WA watoto wako.
Kazi zao ni zilezile,
Hivi unapoambiwa Utafute wife material nini kinakuja kwenye Akili yako?
Au ukiambiwa MKE ni Msaidizi WA Mume Kwa Akili ndogo za Watu Wanafikiri ni zile kazi za kuosha vyombo na kupika[emoji3][emoji3]
Kweli nchi Hii safari ni ndefu.
MKE ni booster, Msaidizi na kama MKEO Hana Sifa hizo basi umeshakwama.
Hapo ndio inapokuja tofauti yetu Watibeli na watu wengine.
Mafanikio ya mtu hayaishii kwenye Kupata Ajira. Ndio maana mnakwama, yaani ulipwe milioni mbili useme amefanikiwa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi MTU anayelipwa milioni mbili au tatu alafu anawatoto ikitokea amekufa Watoto wake wataishije Kam Mkewe sio booster?
Unaweza kuwa na house girl ila akayafanya vema sana majukumu ya mkeo kiasi kwamba ndani ya moyo wako unaona kabisa hapa hata huyu mwanamke aondoke hapa ndani maisha still yataenda tu bila shida.
Hiki ndicho ambacho sisi tunaongelea, mwanamke kufit profile ya mwanaume anaeishi nae sio kuishi anavyoona yeye anataka au kwa kufuata mila na desturi za jamii yake.
Sasa wanawake wakanda hizo wengi wanaklemisha sana maisha na kuhisi kuwa mfumo wa kutafuta hela masaa 24 kila mtu anaupokea kama wao. Pesa haitafutwi hivyo hadi ikupe ukichaa.