Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Okay that's good. Sasa why unachokisema kina kinzana na experience za wanaume wengine?!Nimezaliwa Huko
Nimekulia Huko
80% ya Ndugu ni Watu wa Huko.
Kumbuka wanaolalamika ni wanaume na sio m'moja. Halafu jambo lingine kinacholalamikiwa sio kabila bali ni tabia fulani ambayo inaonekana sana kwa jinsia ya kike.
The thing is ingekuwa ni swala la watu kuvumisha then kusingekuwa na ushahidi ila ukitazama hili swala kuna experience hadi za wanawake ambao ndugu zao wameoa huko wameona visa vya aina mbali mbali.
Kama unakataa hili nenda familia hizi za kipato cha kati na chini halafu mwambie kijana wao akawaambie kuwa amepata mchumba anataka mchumbia, wakiuliza kabila ataje mojawapo ya jamii ya huko uone namna ndugu wa kike wataruka na kuanza kupinga hata kabla maelezo zaidi hayajatolewa.
Utasikia "Mpareeee, au Mchaggaaaaaa au Mburuuuuu mmmmmmhmn kaka mbona unayatafuta tena" hao ni ndugu wa kike imagine ni wanawake wenzao ambao kama hawa wanawake wangelikuwa ni "dhahabu" kama wewe inavyosema why waogopwe kama kicheche kwenye banda la kuku.
Ukisema wanawake wa jamii hizi wapo kimaendeleo zaidi especially wakikutana na wanaume wenye pesa mimi nakukatalia kabisa. Again nasisitiza, sio wote ila majority wameprove beyond doubt and open day vivid evidence kuwa pesa kwao ni kipaumbele kuliko utu. Nikisema hivyo nadhani unaelewa.
Kwahiyo kwa mujibu wa statement yako kuwa wapo hivi ili kujenga maendeleo unakuwa haupo sahihi. Kama swala ni kutafuta pesa then kuna ulazima gani wa mwanamke kukosa zile attributes za kike yaani kuwa na ile feminine energy katika maisha ya mahusiano? Badala yake mwanamke unakuta yupo negative ya feminine energy anakuwa toxic yaani combative, hayupo submissive, hawezi kualign na mipango ya mwanaume wake yeye anapanga yake mwanaume yake, anamtazama mwanaume katika scale ya pesa, mimacho ukimtazama unaweza hisi ni kama unatizamana na chatu m'meza watu.
Mbona wapo wadada wachakalikaji huku pwani unakuta wanapiga mishe wanasafiri hadi uturuki ila wanastaha ya kike yaani ukikutana nae kuanzia sauti hadi tabia unaona mwanamke huyu hapa na ndoa kwao ndio number one thing beyond chochote. Na ukikaa nao unaona kabisa wanafanya yale mambo mke anatakiwa kufanya kama kumpikia mume na kumuandalia chakula, nguo na vinginevyo kuonyesha mahaba kwenye ndoa. Changamoto wengi wao unakuta ni wa imani ya kiislam sasa ukitaka kumuweka ndani inakuwa mtihani ina ni a very perfect candidate kwa ndoa. Na kuhusu pesa wanayo tena si pesa kidogo unakuta binti wa kiislam kavaa abaya kajiremba mkononi ana simu zote ni za bei kali, iPhone 14 pro max, Samsung Galaxy s23 Ultra, mkononi kavaa saa ya bei kali, na hapo hatujazungumzia utuli na udi wa kutoka dubai na Uturuki aliopulizia na anasukuma gari bila shida. Njoo kwenye mapenzi utakimbia wewe hayo mahaba.
Sasa ingekuwa issue ni kutafuta maendeleo na kuwa na pesa kwa mwanamke msingi wake ni uwe na tabia za kis*ng* s*ng* then basi hawa wasingefanikiwa hata kidogo.
Narudia tena issue inayosemwa hapa ni tabia sio kabila fulani. Ukiona wanasemwa sana then jua wamekiuka standards za jamii yetu na ndio maana wanasemwa. Mbona wapare, wamburu,wanyaturu huwa wanasemwa sana humu kwa tabia za kuwa promiscuous (umalaya) na huwezi ona mtu anafungua uzi kuwatetea.
Tabia za hovyo zitafunguliwa nyuzi tu hata iweje na sio kwa nia mbaya ila kurekebishana. Sisi ni watanzania jamii moja, so miongoni mwetu wanapoleta upuuzi lazima tuwe wakali kuwakemea ili warekebike.
Kama unavyosema kuwa umeishi sana huko natumai unajuonea rate ya masingle mother wilayani Moshi inavyokua kwa kasi yaani wanaume kuzalisha na kusepa na hawa wanaume si wa mikoa mingine ni wa huko huko Kilimanjaro. Sasa hii haikupi picha kuwa kuna shida somewhere?! Ukiona wanaume wa jamii husika wanakimbia jua kuna tatizo. Mimi nimeshakutana na washkaji mara kadhaa wakinitamkia hii kauli, "ndugu yangu katika maisha yako kama unataka kuwa na amani katika ndoa yako nakusihi usije ukaoa mwanamke wa kichagga".
Why hii kauli ipo common tena sio kwa Wanaume ambao hawajiwezi, wapo vema tu kujenga familia.