Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani!
Aliyemuuliza swali alisema Wamarekani wengi sana wanatatizwa na kitendo cha Zelenskyy kutokuvaa suti akiwa Ikulu ya Marekani na pia ni kuwadharau Wamarekani!
Hakika akufukuzaye sio lazima akuambie toka.