Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Hapana kaondoka Kwa Miguu....Zele naskia kaondoka kwa hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kaondoka Kwa Miguu....Zele naskia kaondoka kwa hasira
Anachotaka us kinatofautianaje na hicho unchopinga?Zelensky ni teja mwizi na kibaraka aliyetumika kuiharibu Ukraine sasa kazi yake imeisha anatakiwa aende jela anaonekana kama kondom ilitumika
Hao jamaa walitaka tu kumdhalilisha Rais Zelensky.Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani!
Aliyemuuliza swali alisema Wamarekani wengi sana wanatatizwa na kitendo cha Zelenskyy kutokuvaa suti akiwa Ikulu ya Marekani na pia ni kuwadharau Wamarekani!
Hakika akufukuzaye sio lazima akuambie toka.
View attachment 3253869
View attachment 3253871
View attachment 3253872
Umeonaeee,😁😁 jitu kama hilo ndiyo hayo magufuri alikuwa anayaita wanyonge....uwezo mdogo wa kufikiri na utambuziLazima utakuwa una matatizo ya akili
Haya mimi niliyafikiria watu toka mwanzo vita wakat vita inaanza,nilikuwa nikiwaambia watu wanasema yupo sahihiZelensky ni teja mwizi na kibaraka aliyetumika kuiharibu Ukraine sasa kazi yake imeisha anatakiwa aende jela anaonekana kama kondom ilitumika
alifukuzwaZele naskia kaondoka kwa hasira
Naunga mkono hojaLazima utakuwa una matatizo ya akili
🤣🤣🤣🤣
Hakuna kitu kilichotokea kwa bahati mbaya, Zelenskyy wamemjaza ili achemke na Trump supporters waone kuwa hastahili kuendelea kusaidiwa. My subconscious mind tells me that this was a prearranged trap ili Zelenskyy anase jumlajumla wamkatie misaada mazima, tuone Europe kama watasimama united kumsaidia and who will lead the financing ukizingatia hata Zelenskyy 50% ya pesa anazopatiwa anadai hajui huwa zinapotelea wapi.Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani!
Aliyemuuliza swali alisema Wamarekani wengi sana wanatatizwa na kitendo cha Zelenskyy kutokuvaa suti akiwa Ikulu ya Marekani na pia ni kuwadharau Wamarekani!
Hakika akufukuzaye sio lazima akuambie toka.
View attachment 3253869
View attachment 3253871
View attachment 3253872
Zele kazingua kwenye chokochoko ya kuanzisha vita na ndugu yake Mrusi.Bora we umeona maana wengine humu wangekuwa wao ndo Zele wangesign fasta sana huku wakichekacheka hovyo ule mkataba wa kimaamuma kisa umetoka marekani.
US kiuchumi yupo vibaya ni suala la muda tu uchumi wa US unacollapse tena economy crush ile mbaya kabisa hivyo US anatafuta kujitoa kuendelea kutoa pesa na anataka apate pesa pia kupitia vita hiyohiyo. Zele kashtuka why US imlazimishe asign mkataba pasipo security guarantee hata kichaa angeshtuka kuwa hapa naingizwa choo cha kike na hasa ukizingatia Trump kwa namna fulani ashaside na Putin.Hakuna kitu kilichotokea kwa bahati mbaya, Zelenskyy wamemjaza ili achemke na Trump supporters waone kuwa hastahili kuendelea kusaidiwa. My subconscious mind tells me that this was a prearranged trap ili Zelenskyy anase jumlajumla wamkatie misaada mazima, tuone Europe kama watasimama united kumsaidia and who will lead the financing ukizingatia hata Zelenskyy 50% ya pesa anazopatiwa anadai hajui huwa zinapotelea wapi.
It's like Trump and Putin are playing this game together, that Oval office meeting went exactly the Russia's way. Obviously Putin was enjoying it whilst sipping his shots of vodka.
TRAMP NA MWENZIE walidhani Zalensky Boyaa Kama wao!!!!Zele naskia kaondoka kwa hasira
Zele ni Mwamba na Trump asipokuwa makini ataondoka Oval Office kabla ya mwaka kuisha kwasababu ya Zele na Ukraine.Zele naskia kaondoka kwa hasira
Aliyeanzisha vita sio Ukraine Bali Russia, kipindi cha nyuma aliichukua Crimea US na NATO wakamsihi Ukraine atulie Putin akanogewa akataka na mashabiki yote iwe ndani ya Russia sasa Rais gan wa nchi anayejielewa atakubali hicho kitu?Zele kazingua kwenye chokochoko ya kuanzisha vita na ndugu yake Mrusi.
Lakini kwenye hili la kupinga kusaini mkataba wa kuwapa madini Marekani nadhani amejitahidi japo msimamo wake unaweza sababisha madhara zaidi