antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hii ni feki bhana,
Mambo ya Ai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni feki bhana,
Siyo kweli,..ukizingatia hata Zelenskyy 50% ya pesa anazopatiwa anadai hajui huwa zinapotelea wapi.
Hata huo mkataba wenyewe wasingesoma, kama kawaida yaoBora we umeona maana wengine humu wangekuwa wao ndo Zele wangesign fasta sana huku wakichekacheka hovyo ule mkataba wa kimaamuma kisa umetoka marekani.
Well recent comment za wamarekani zinasema otherwiseHakuna kitu kilichotokea kwa bahati mbaya, Zelenskyy wamemjaza ili achemke na Trump supporters waone kuwa hastahili kuendelea kusaidiwa. My subconscious mind tells me that this was a prearranged trap ili Zelenskyy anase jumlajumla wamkatie misaada mazima, tuone Europe kama watasimama united kumsaidia and who will lead the financing ukizingatia hata Zelenskyy 50% ya pesa anazopatiwa anadai hajui huwa zinapotelea wapi.
It's like Trump and Putin are playing this game together, that Oval office meeting went exactly the Russia's way. Obviously Putin was enjoying it whilst sipping his shots of vodka.
Tamaa ya kutaka kujiunga NATO ili amuumize ndugu yakeChokochoko gani?(
Kuna sababu iliyopelekea kuifanyia ujambazi UkrainAliyeanzisha vita sio Ukraine Bali Russia, kipindi cha nyuma aliichukua Crimea US na NATO wakamsihi Ukraine atulie Putin akanogewa akataka na mashabiki yote iwe ndani ya Russia sasa Rais gan wa nchi anayejielewa atakubali hicho kitu?
Yeye Zele alidhani hizo silaha na mamilioni ya dolari anapewa bure?Trump kakasirika sana dogo Zele kagomea mkataba wa kimangungo alifikiri angepata kitonga
Trump kwa akili zake alifikiri Zele angesaini tu mkataba wa kipuuzi kizembezembe ka wasainivyo viongoz maamuma wa kiafrika?Yeye Zele alidhani hizo silaha na mamilioni ya dolari anapewa bure?
Anabana ila ataachia tu, ile vita haiwezi peke yake hata mwezi mmoja, US akianza EU anafuata...hawezi kupigana bila support.Trump kwa akili zake alifikiri Zele angesaini tu mkataba wa kipuuzi kizembezembe ka wasainivyo viongoz maamuma wa kiafrika?
Ingekuwa we ndo zele ungeachia fasta tu usingebana hata kidogo?Anabana ila ataachia tu, ile vita haiwezi peke yake hata mwezi mmoja, US akianza EU anafuata...hawezi kupigana bila support.
Mimi mwafrika mkuu, Afrika ni moja na watu wake ni akili moja.Ingekuwa we ndo zele ungeachia fasta tu usingebana hata kidogo?
Sawa we mwafrika kwa hiyo usingebana hata kidogo yaani ungeachia tu?Mimi mwafrika mkuu, Afrika ni moja na watu wake ni akili moja.
Mkuu hivi waliosain mkataba wa bandari zetu wange triple sign af chap wangeitisha press after their arrival. Wangeisifia usa huku wakibubujikwa na machoz ya bashasha mbele ya amiri jeshi.Bora we umeona maana wengine humu wangekuwa wao ndo Zele wangesign fasta sana huku wakichekacheka hovyo ule mkataba wa kimaamuma kisa umetoka marekani.
Na soon ungesikia chawa mmoja kaanzisha mkataba wa mama challenge!M
Mkuu hivi waliosain mkataba wa bandari zetu wange triple sign af chap wangeitisha press after their arrival. Wangeisifia usa huku wakibubujikwa na machoz ya bashasha mbele ya amiri jeshi.
Nakuliomba bunge liidhinishe sheria ya kukamatwa kwa yeyote atakaye hoji kuhusu mkataba huo mtakatifu. Nimwazo tuu, ila kusema kweli, hapo tumepata behind the scene ya mambo mengi.
Ha ha haa, asee hilo lingeambata na wanenguaji matata kwenye matangazo.Na soon ungesikia chawa mmoja kaanzisha mkataba wa mama challenge!
Maana nasikia nasikia kuna kitumbua cha mana challenge!
Nimeona steve nyerere na hiyo challenge japo sina hakika kama inaitwa exactly kitumbua cha mama ila vitumbua vipo na chai ipo na ni challenge kweliHa ha haa, asee hilo lingeambata na wanenguaji matata kwenye matangazo.
Ila mkuu hujatupiga kweli hapo kwenye kitumbua challenge!!!?
Ngoja tutaijua coz waitaweka wazNimeona steve nyerere na hiyo challenge japo sina hakika kama inaitwa exactly kitumbua cha mama ila vitumbua vipo na chai ipo na ni challenge kweli