Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

Cha ajabu wanaume mmeugeuza huu uzi ni wa kushusha malalamiko kwa wanawake kisa hatujiui.

Nadhani mupende kwa kiasi + mujipe muda wa kufanya maamuzi kwa kuwafikiria wale mutakaowawacha baada ya nyie kusepa na sio kukurupuka tu kisa umeambiwa mi na weye basi haraka haraka tu unaona suluhisho ni kujimaliza. Lol
 
Mimi nilitumia kitanzi. I wish ningekua askari ili nitumie bunduki ambayo ningeachwa nayo lindoni pia angalau taarifa zingesambazwa ili Mwashabani ajue nimeumaliza mwendo.

Lakini nimejinyonga nyie kujinyonga kunauma. Yaani kitanzi kilivyokaza tu na ufahamu kuanza kunitoka nikajiambia yaani ndo naenda hivi. Nikinyoosha mikono nijitoe nashindwa.

Basi mara nikajikojolea sijakaa vizuri na gogo hilo likanichoropoka. Unajua kujinyonga inabidi uisnap shingo, usipoisnap ni unakua umejikaba mpaka unakufa, yaani nakuja kutolewa pale mikojo, mimate na gogo juu yaani mpaka kinyaa.

Nawashauri nendeni benki mkaibe, ukifa utakua ulikua mpango wako tangu mwanzo ukipona ukatoka na pesa utakua umekua tajiri.

Gosh why didn't I think of this earlier!!? Am a fvking genius.
 
Wanawake pia wanatongoza mkuu tena vibaya mno, na wengine wanapenda vibaya sana sema wanashindwa ku express hisia zao kwetu .
Na wao ni wahitaji vile vile.

γ€ŠCaprichar o teu sorriso》
Maandiko yanaonyesha mwanamke ajaumbwa kupenda.

Yeye kazi yake ni kuheshimu na kutii tu.
Wanaume ndio tumeumbwa kupenda.
 
Yaani mkuu, Umewaza Kama Mimi yani, big up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ™„πŸ€”
Baby hivyo ndoa yetu lini..??
 
Bullshit aside.

Wanaume tumelelewa tukiaminishwa sisi tunatakiwa kujikaza hata kama panauma na roho inauma. Unlike women, wao wanaweza kuexpress feelings zao za machungu.

Na katika saikolojia tunasema kusikilizwa ni dawa. Sasa wakati mwanamke likimtokea jambo na anapata wa kuongea nao mwanaume anakua bize kujifungia, kujitenga akideal na gumu lake.

Mfano, nikiwa gym moja hivi kuna jamaa aliporwa mkewe. Huyu jamaa alikua na body points zote, huge and cut, halafu mpole mtaratibu balaa. Hata usipomuona anasimamisha gari anakusalimia. Aliporwa mke na dereva wa lori mwembamba kama Dula Makabila.

Sasa kile kipande kikija kukulia kisa mapenzi utakichukuliaje? Anyway akapretend yuko fine ila akaanza kupungua kwa kasi, ulevi nao ukatamalaki. Anakuja gym kalewa akiambiwa anazua varangati la hatari.

Siku hizi sijui yuko wapi. Huku mbinguni simuoni pia kwahiyo mtakua naye huko huko.
 

Hapa mzee umegonga mule mule. Yaani dawa yake ni options. Kuwa na wanawake wengi kulingana na uwezo wa mfuko wako....wala hutapata stress.
 
Corona ikiisha babe tunafanya yetu.
Ila mambo ya kujiua na kuniacha mjane kisa nmekutenda tu kidogo siyataki. Usije fanya huu upuuzi plss
Sitaki hata kulizungumzia hilo mi nakujua wewe tu kimwana..
Navyokupenda mpaka Moyo wangu unadunda kwa kufuata mapigo ya jina lako sweetie!
Nakuahidi sitakukwaza..
 
Sitaki hata kulizungumzia hilo mi nakujua wewe tu kimwana..
Navyokupenda mpaka Moyo wangu unadunda kwa kufuata mapigo ya jina lako sweetie!
Nakuahidi sitakukwaza..
Wala hujakosea hapo.
Hahaha kwa hayo mahaba naanzaje kwenda mbali nawe mfano!
 
Wala hujakosea hapo.
Hahaha kwa hayo mahaba naanzaje kwenda mbali nawe mfano!
Wachaa wee!
Nitwange hata busu uutulize mtima maana msuli wa mapenzi umenikakama kwelikweli πŸ˜‰πŸ˜…
 
Wachaa wee!
Nitwange hata busu uutulize mtima maana msuli wa mapenzi umenikakama kwelikweli πŸ˜‰πŸ˜…
😘😘😘😘😘😘 nmekupa mabusu kabisa maana nmeona busu halitatoshaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…