Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

Hahahaha siku ukiniacha , Nitavuta mwengine 100% ..kichwa changu hakijawahi nifikirisha kufanya jambo lakijinga linaloniathiri wakati Nina Faida. Mimi kusema ukweli. Huwa nashangaa sana Mwanaume anayejiua au aliyeamua kuyachukia maisha yake sababu tu ametendwa na Mwanamke aliyekua anampenda kwa dhati.


Et MTU anaamua kua chapombe kisa K...anakua mvutaji wa sigara na Dawa za kulevya kisa K hahahaha hahahah .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu umeongea KWERI tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnakufa na tai shingoni. Tatizo lenu mkiumizwa kihisia hata chozi hamtoi kupunguza machungu. Mwanaume ukisalitiwa lia kwa sauti kama yule jamaa wa Hamida.
 
Nikikumbuka ....[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji17][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji47][emoji46][emoji46][emoji46][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22]
Ngoja nifanye kazi kwa bidii tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah sema hakyamungu, hata kutishia tu kujiua hutofanya? Vibaya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mkiachana huumia zaidi ya mwanaume.. Lakini huwahi kusahau sisi huwa hatuumii sana lakini tunachelewa kusahau hasa kama MTU mlizoeana sana.

Kwa kifupi kinachotesa wanaume ni mazoea, Ndo maana michepuko nu ya muhimu sana wakati mwingine[emoji23][emoji23]

Mwanaume jitahidi uwe na mchepuko ndo maana wakaumbwa wengi zaidi yetu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee saa ngapi Mungu aliumba wanawake wengi? Aliumba Adamu na Hawa hakuna jinsia aliyopunguza wala kuongeza. Kinachowafanya muwe wachache ni kuwa nyie wapuuzi mnakufa sana...na vifo vingine vya kipuuzi tu kama hiki cha kwenye hii mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaahh Lady ,embu fikiria nakupenda sanaa lkn mwisho wake Unifanyie jambo la kuniumiza ? ninani kati yetu anatakiwa kua ktk upande wa Faida ?.


Jambo ambalo naweza kuliruhusu kuumiza na kunisikitisha moyoni na kufanya USO wangu ujawe na majozi ni pale ambapo nitakua CHANZO CHA UKOSAJI .



lkn habari ya mwanamke Ninayempenda awe chanzo cha kufanya maisha yangu yawe ya tabu??? Et nisilale ?? Et nisile?? Et Nijaribu kujidhuri ?? Et nijiue ?? Nijichukie (?? Hahahahahaha , nitakua mwanaume wa mwisho kukubaliana nahuu upuuzi.



Sera ya maisha yangu, inanihitaji kua na moyo wa chuma ambao hauruhusu MTU wa ziada kua chanzo cha kunipa Shida !!.


Nikikukosea, nitaumia sana , nitakuomba msamaha .... Ila kuna watu wakiombwa msamaha hawako tayar kusamehe badala yake huugeuza huo msamaha ili kukuumiza kisa umekosea..... Kwa kuzingatia Uzito wa kosa ,hapa napo Nitaangalia, kama linanihitaji kusubiri Nitasubiri..kama et nikusubiri uku ukiendelea kunionyesha wazi
Na kunikomoa hahahahhaa KWAHERIIIIIIII, UFIKE SALAMAAAAAA KWA BABA NAMAMAAAA KWAHERI MWALIMUUU KWAHERI MWALIMUU HAHAAH TUTAONA ONA KESHOO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah sema hakyamungu, hata kutishia tu kujiua hutofanya? Vibaya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke n kama daladala ya kkoo
To g/mboto

stidy
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe akili zako zinakutosha mwenyewe, umeona utuimbie na wimbo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…