Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Ewe msoma mada jiulize wewe mwenyewe nafsini kwako, huyo mpenzi ulie nae unampenda kweli? (Ni dream partner wako tangu siku ya kwanza ulivomuona), au upo nae ili muda uende, nahis kwenye mahusiano watu wengi wameamua kuridhika na wenza walio nao, ila kiuhalisia tangu mwanzo hawakufurahia uwepo wa wenza wao.
Kwa mfano ukiona mwanaume anampenda sana mdada kwa kumgharamikia Pesa nyingi Na kumfukuzia kwa muda mrefu, ujue huyo mdada yuko hapo ilimradi tu apate hela siku ziende, au hatongozwi na aina ya wanaume anaowataka, na ukiona mdada anampenda sana mwanaume, ujue kinachomweka huyo mwanaume Kwenye huo uhusiano ni utelezi tu, au utakuta kinachomweka mwanaume kwenye huo uhusiano ni kuwa ameshindwa kupata Aina ya wadada anaowataka
Nahisi hii ni moja ya sababu wanandoa wengi na couples kuishia kupigana na vitu vizito, ila kwa wenye uvumilivu wakikutana na Hali hii, ingawa mmojawapo hampendi mwenzie, mmoja atavumilia, na ndoa itadumu hata miaka 60 hadi kifo kiwatenganishe.