Miezi saba bado mdogo sana, sema kitanda chake siyo chumba chake.Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
msusie tuKwakweli naudhika sana naombeni msaada bila hivyo naweza pitisha mwezi cjamlala mke wangu
NdiyoChumba chake kwa mtoto mchanga??
Si kila kifanywacho na wazungu ni kizuri kuiga yaani mtoto miezi saba alale chumba kingine? Shubamiit!!Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
Hakuna atakae kulazimisha kuishi maisha yako lakin wazungu ndiyo waliyochapisha mitaala ya kutufundishia haya sisi hatujachapisha ya kwetu na wao waneitoa kufuatia evidence based researchesSi kila kifanywacho na wazungu ni kizuri kuiga yaani mtoto miezi saba alale chumba kingine? Shubamiit!!
Radio call tena??!! Hayo mambo yenu nyie wenye uwezo mnaoishi kwa mtogole 🙂🙂Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
Miezi saba tu tayari ushaanza kumnanihii...Ndg wana jf hivi hii inawakuta na nyie au nimimi tu yani mtoto wetu ni mchanga miezi saba huwa analala fofofo sana lakini tukianza tu kufanya mapenzi huamka na kuanza kulia kwa nguvu sana.
Sasa nimeshindwa kuvumilia Leo nimemfinya na nimesusa kufanya mapenzi kwasababu yake.
Watoto huwa hawapendi makeleleNdg wana jf hivi hii inawakuta na nyie au nimimi tu yani mtoto wetu ni mchanga miezi saba huwa analala fofofo sana lakini tukianza tu kufanya mapenzi huamka na kuanza kulia kwa nguvu sana.
Sasa nimeshindwa kuvumilia Leo nimemfinya na nimesusa kufanya mapenzi kwasababu yake.
Ukilala mbali na mtoto unambemendaNi hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
mambo ya radio call [emoji63]Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu