bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Miezi saba bado mdogo sana, sema kitanda chake siyo chumba chake.Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu