Kwanini nikianza kufanya mapenzi na mke wangu mtoto wetu mchanga aliyelala fofofo anaamka na kulia?

Kwanini nikianza kufanya mapenzi na mke wangu mtoto wetu mchanga aliyelala fofofo anaamka na kulia?

Maandazi wewe akianza kulia mnamuweka sehem ambayo atawashuhudia mujarabu kabisa wallah siku nyingine hatolia
 
Malaika wanamuasha alinde chakula chake (manyonyo) yasiguswe
 
Ndg wana jf hivi hii inawakuta na nyie au nimimi tu yani mtoto wetu ni mchanga miezi saba huwa analala fofofo sana lakini tukianza tu kufanya mapenzi huamka na kuanza kulia kwa nguvu sana.
Sasa nimeshindwa kuvumilia Leo nimemfinya na nimesusa kufanya mapenzi kwasababu yake.
Miezi saba tu tayari ushaanza kumnanihii...
Ungesubiri hata Mwaka m1
 
Usilale na mtoto hata akiwa na siku moja!
Wkt mama yupo leba ww unaandaa chumba chake,akifika toka hospitalini anafikia chumba chake
 
Ndg wana jf hivi hii inawakuta na nyie au nimimi tu yani mtoto wetu ni mchanga miezi saba huwa analala fofofo sana lakini tukianza tu kufanya mapenzi huamka na kuanza kulia kwa nguvu sana.
Sasa nimeshindwa kuvumilia Leo nimemfinya na nimesusa kufanya mapenzi kwasababu yake.
Watoto huwa hawapendi makelele
 
Mtoto anaona wivu...ndo wapo hivyo hapo anajua kila kitu ila hawez kuongea tuu
 
Back
Top Bottom