Kwanini nikisex naye naona madude meupe kuuzunguka uume wangu?

ha haha bado anafanya utafiti ,, huyu ndiyo wakifika gesti anamwambia demu lala hapo kitandani vua nguo na chupi jipanue anaiangalia weweeee huku anaaikagua kama anasoma ramani anatafuta chile ipo wapi ? h ahahha akue kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf INA mambo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] magu "fool
OK itakuwa dogo kakuelewa vizuuuuri kabisaaa
 
Wote wanaosema ni uchafu hawajawahi mkojoza mwanamke, hilo jambo ni kawaida endapo mwanamke atafika climax, mashine huwa na ute mweupe kama imepakwa lotion na huwa hayana harufu kabisa.
Ila endapo huo ute utakua na harufu huyo binti atakua na maambukizi mengine kama fungus n.k
 
#maoniyangu#
Mwanamke akifika kilele lazima amwage, kinachomwaga ni ute mzito slindery in nature rangi yaezakua ya maxiwa au kamas zito hivi... wing inategemea bt nt nying sana kiasi cha kilowesha bed bt kushade around papuchi na pipe... baada ya mda ukiendeleza show inakauka na mamalalamiko utayaskia kwake kua naumia n.k ujue ni friction without lubrication ... iyo ni ishara kua karidhika sasa muache baada ya kumwaga... lkn kama ndo umeanza show akamwaga huo ute ucio wa wakawaida bas ujue alipigwa mambo mda mchache ulopita na hakua amenwaga that y yako ni kama mwendelexo kumfikisha kilele haraka, pia inaeza kua ni mgonjwa wa maradh flan ivi ya excessive MPs au maradh mengine... pia ukimuandaa vizuri mwanamke basi anamwaga haraka na kwa wingi zaid huo..... me napita tuu wataalam wataeka sawa
 
ha haha bado anafanya utafiti ,, huyu ndiyo wakifika gesti anamwambia demu lala hapo kitandani vua nguo na chupi jipanue anaiangalia weweeee huku anaaikagua kama anasoma ramani anatafuta chile ipo wapi ? h ahahha akue kwanza
Yaani huyu hata ukimjibu atauliza swali lingine lakijinga zaidi sasa muacheni hivyo hivyo ataelewa tuu
 

[emoji115]Wewe ndo mtoto mkuu,believe me!!...... Wala sikukebehi!
 
Hapo mabupa huwa yana fight na infections mbali mbali... Hayo mamaji meupe ni difensi mekanisimu ya uchi inapo ingiliwa na vitu vya ovyo ovyo kama mguu wako wa tatu.
Kapime gono.
Looooooooh!!!! Jibu hili kiboko yani!!!
 
We nae umekazana kuwaambia watu wakakue huku kwa majib ya wadau inaonesha kuna contradiction, wengine wanasema ni fungus, wengine orgasm. Sasa ww uliekua leta jib la uhakika sio kujichekesha mbele ya wanaume
Mkuu wanaosems ni fangasi wanadanganya kuna mdau huyu katoa jibu sahihi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…