Kwanini nikisex naye naona madude meupe kuuzunguka uume wangu?

Ni kitu cha kawaida, usiogope... vaginal discharge... kwa wale wanaokaa muda mrefu bila kuingiliwa ni kawaida kabisa, na wasioingiza vidole wanapojisafisha ni kawaida pia ila kama yanaambatana na harufu kali, yaweza kuwa infections.
 
Bora wewe coz naona wengi wanakejeli tu badala ya kumsaidia MTU wengi humu hujifanya wajuaji Lakini Bashite ktk hizi Anga
 
Yanakuwa meupe kama lotion flani hivi hii mimi huwa naiona kwa demu wangu mmoja hivi nikimpiga paipu kisawasawa lazima hiyo makitu itoke. Ngoja tusubiri wataaalam waje
Inatoaga povu na kudondosha maji maji.. Halafu hayo maji maji yana harufu ya dawa... Mmmmh!
 
Kwa jinsi ulivyouliza swali katu hutopata majibu sahihi. Utatukanaje mamba kabla hujavuka mto? Utaanzaje kutukana watakaoleta majibu badala ya kuwashukuru kwa mchango wao. Naona huna tofauti na akina bashite aka zero
 
Yanakuwa meupe kama lotion flani hivi hii mimi huwa naiona kwa demu wangu mmoja hivi nikimpiga paipu kisawasawa lazima hiyo makitu itoke. Ngoja tusubiri wataaalam waje

Hayo madude meupe ndio utamu wenyewe huo maana yake hafanyi sana kama yananuka nenda hospital ila kama hayanuki jua mko wachache kwa huyo demu

yani naomba ukue kwanza ndiyo uanze kusex

Jibu mubashara kabisa

Haya Wanaume njooni muufunde Mvulana huku kaparamia vya wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…