Kwanini nimefurahi mno Beki Henock Inonga Baka Kukosa Penati leo dhidi ya Orlando Pirates FC nikiamini kuwa kuanzia sasa atabadilika?

Hilo tukio liliwauma Sana Uto..

Ulitaka asimzuie Mayele wakati hilo ni jukumu lake, acheni Utoto.

Hiyo penati angeikosa wakati akicheza na Yanga ingeleta mantiki kama mngefurahia, zaidi ya hapo ni chuki na wivu tu zinawatesa.
Sasa yeye ndo alimzuia mayele? Kazi ya kumzuia mayele ilifanywa na onyango kwa kiasi kikubwa lakini kwakuwa linapenda sifa ambazo sio zake kujionyesha ndo lichezaji kuzidi wote pale simba likajifanya lenyewe ndo limemdhibiti ovyo kabisa yule jamaa
 
Acha wivu
 
Na huu ndiyo Ukweli mtupu Ndugu. Mayele alidhibitiwa vilivyo na Joash Onyango na siyo Yeye Henock Inonga. Na tarehe 30 April, 2022 Mayele atapita Kwake Yeye na atatufunga Simba SC hili nalingojea kwa hamu kwakuwa Kiufundi baada ya Kuwajua Wawili hawa Kiuchezaji nina uhakika nalo.
 
Hilo tukio liliwauma Sana Uto..

Ulitaka asimzuie Mayele wakati hilo ni jukumu lake, acheni Utoto.

Hiyo penati angeikosa wakati akicheza na Yanga ingeleta mantiki kama mngefurahia, zaidi ya hapo ni chuki na wivu tu zinawatesa.
Sawa mkuu, mmebakwa Ila kwa mbinde sana🤣🤣🤣
 
Genta nna shida na wew na umefunga pm
 
Yule mjinga alikuwa anataka umaarufu kupitia Mayele.
 
Saf sana popoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…